Hellen Makanza wa Stanbic katika sakata la Tegeta Escrow Account

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Huyu ni Head of Legal Services wa Stanbic Bank na ndiye aliesain Statement of account ya PAP
Anawajua beneficiaries woooote wa akaunti hiyo

Hivi hawa Stanbic sakata la Mikopo kwa wafanyabiashara wa Kariakoo na staff wao liimeishia wapi?

Sakata la Bashir Awale na mkopo wa mamilioni y dola anbayo BOT hawakujua kimeishia wapi?
 
Anamuita Getrude Mongela aunt ...kaka tatizo Nchi Hii wote wenye kazi Ndio Hao Hao ....atakaa VIPi lockup ya takukuru
 
haya mabenki ovyo kabisa, wanatunyima sisi wajasiriamali hela ya kufanyia biashara, wanatoa kwa mafisadi!
 
Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.

That's one but second, kutoa na kusaini statement hakuna uhusiano wowote na kufahamu wapi transaction inaelekea... transaction inaweza kuwa imefanyika miaka kumi iliyopita na statement ikatolewa na kusainiwa leo!! Mtu pekee ambae anaweza kujibu swali la wapi pesa zimeenda ni mtu anayehusika na money transfer... huyu anaweza kuwa ofisa wa kawaida tu lakini kwa kuwa transaction zenyewe ni kubwa sana basi LAZIMA Branch Manager na/au assistance wake watakuwa wali-approve hizo transfer. Hivyo basi, mbali na Money Transfer Officer (or whatever the title they call), wengine walio kwenye nafasi ya kujibu ni meneja na assistance wake (for dual signature)
 
Exactly!
Mi nimaechukua statement mara kibao..na huyo aliyesaini sikuona hata mara moja akibaki na nakala.
 
Sio kweli labda itaratibu wa huko hamana

Nyie wagalatia mna matatizo sana, mnajifaragua kua mnajua kila kitu..
Kwenye business as usual yeyote anaweza kusaini... na kweli wengi wanafanya hivi lakini kisheria, statement ni very sensitive document ambayo can'tbe signed by any one! Kwenye mabenki wana sample signatures... bonge la kitabu ambalo lina majina na signatures wa bank signatories mbalimbali. Hawa ndio wanaopaswa kusaini statements.

Don't forget, watu wanatumia statement za benki moja kwenda kuchukua mkopo benki nyingine kwahiyo signature inayotakiwa kuwapo kwenye statement ni ile ambayo, statement ikipelekwa kokote nchini, itakuwa verified kwenye sample signatures!
 
Exactly!
Mi nimaechukua statement mara kibao..na huyo aliyesaini sikuona hata mara moja akibaki na nakala.

Anayepewa account Statement ni Authorised signatory tu haitolewi kama njugu
Swali hapo
Je ni Sethalienda kuchukua?
Je kwa nini isainie na head wa Legal na si front desk customer care?
 
Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.

That's one but second, kutoa na kusaini statement hakuna uhusiano wowote na kufahamu wapi transaction inaelekea... transaction inaweza kuwa imefanyika miaka kumi iliyopita na statement ikatolewa na kusainiwa leo!! Mtu pekee ambae anaweza kujibu swali la wapi pesa zimeenda ni mtu anayehusika na money transfer... huyu anaweza kuwa ofisa wa kawaida tu lakini kwa kuwa transaction zenyewe ni kubwa sana basi LAZIMA Branch Manager na/au assistance wake watakuwa wali-approve hizo transfer. Hivyo basi, mbali na Money Transfer Officer (or whatever the title they call), wengine walio kwenye nafasi ya kujibu ni meneja na assistance wake (for dual signature)

Mkuu Chige, nafikiri hili swala linamhusu zaidi ya "Branch Manager" kwani sina uhakika kama kuna "Branch" ya benki yoyote Tanzania inayoweza kuwa ni kiasi kikubwa hivyo cha cash za ku-release kwa mteja mmoja kwa mara moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom