Hellen Makanza wa Stanbic katika sakata la Tegeta Escrow Account

Kwenye business as usual yeyote anaweza kusaini... na kweli wengi wanafanya hivi lakini kisheria, statement ni very sensitive document ambayo can'tbe signed by any one! Kwenye mabenki wana sample signatures... bonge la kitabu ambalo lina majina na signatures wa bank signatories mbalimbali. Hawa ndio wanaopaswa kusaini statements.

Don't forget, watu wanatumia statement za benki moja kwenda kuchukua mkopo benki nyingine kwahiyo signature inayotakiwa kuwapo kwenye statement ni ile ambayo, statement ikipelekwa kokote nchini, itakuwa verified kwenye sample signatures!
Uongeacho ni kweli, pengine 'yeyote' nilimaanisha 'wengi' na kama ulivoeleza kua haina maana aliyesaini anataarifa zote za miamala husika.
 
Mkuu Chige, nafikiri hili swala linamhusu zaidi ya "Branch Manager" kwani sina uhakika kama kuna "Branch" ya benki yoyote Tanzania inayoweza kuwa ni kiasi kikubwa hivyo cha cash za ku-release kwa mteja mmoja kwa mara moja!
Any branch can release any amount isipokuwa you've point somewhere! WHY? Ni kweli matawi hayaruhusiwi kukaa na pesa nyingi kiasi hicho but at the request of customer, branch inaweza kuagiza kiasi hicho cha fedha ili ku-facilitate transaction... especially kwa corporate bank like Stanbic.

Sasa ni kwanini nimesema you've point? Kwanza, hicho kiasi hakiwezi kuwapo kwenye tawi kwahiyo ama Branch Manager or Custodian ni lazima a-request hiyo amount ili iletwe... assumption hapa ni cash payment ingawaje hiyo sio cash payment bali ni transfer! Sasa kama ingekuwa ni cash payment, baada ya Manager ku-request such big amount of money, watu wa head office lazima wangehoji who's going to be paid! Hapo ndipo inakuja hoja yako kwamba hapo ni za Branch Manager... but don't forget, this's money transfer! Money transfer doesn't involve cash.
 
Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.

That's one but second, kutoa na kusaini statement hakuna uhusiano wowote na kufahamu wapi transaction inaelekea... transaction inaweza kuwa imefanyika miaka kumi iliyopita na statement ikatolewa na kusainiwa leo!! Mtu pekee ambae anaweza kujibu swali la wapi pesa zimeenda ni mtu anayehusika na money transfer... huyu anaweza kuwa ofisa wa kawaida tu lakini kwa kuwa transaction zenyewe ni kubwa sana basi LAZIMA Branch Manager na/au assistance wake watakuwa wali-approve hizo transfer. Hivyo basi, mbali na Money Transfer Officer (or whatever the title they call), wengine walio kwenye nafasi ya kujibu ni meneja na assistance wake (for dual signature)

Umeongea kitaalam sana mkuu, safi sana. Kwa kuongezea tu, ukitazama hiyo statement imesiniwa tar 22/09/2014. Hii huenda ilikua ni ombi la kisheria kutoa hiyo statement kwa kazi maalum (huenda ikawa ni kwa uchunguzi). Kwa jambo kama hilo, hapo mwanasheria wa Benki lazima ahusike, japo hawezi kua anajua nani alifanya nini na hawezi kujua kila muamala kwenye hiyo statement.

Ndio maana huwa nashauri taasis zetu zingekua na wataalam wa kila idara kama sio kuwawezesha waliopokuwa na huo uwezo. Polisi anafanyaje upelelezi wa kesi wa wizi wa benki kama hana hata chembe ya uelewa wa deposit na withdrawal?
 
Mkuu Chige asante kwa ufafanuzi wako! Mie sio mtaalamu wa mambo ya banking hivyo bado nina duku duku la kujuzwa zaidi - kwa mazingira yetu ya Tanzania hivi transfer ya kiwango kikubwa hivyo cha fedha kwa mara moja haipaswi ku-arouse interest ya kila mhusika kuanzia kwenye Branch mpaka HQ kutaka kumjua huyo "Mteja"?
 
Hapo kwenye RED umemaliza... ubongo wangu uli-stuck! Hapo sio huenda... ndivyo ilivyokuwa, so u're 100% RIGHT!!!

Tukirudi kwenye suala kuwa na watalaamu wa kila idara... you're 100% RIGHT! POlisi wa kawaida hata mwanasheria wa kawaida, hawezi ku-solve issues kama hizi vizuri... never ever!!! Mambo kama haya lazima yawahusihse watalaamu wa kibenki! Binafsi huwa nashangaaga sana wanaposema inakuwa ngumu sana kufuatilia kesi hii ama ile kuhusiana na wizi wa aina hii au ile lakini ukisikiliza unakuta issue yenyewe ni nyepesi tu... lakini tatizo ndo kama hivyo tena, polisi wa kawaida anafuatilia banking forgery... kamwe hawezi!!! Wakati mwingine huwa wanatumia "bankers" lakini wanapokosea wanachukua bankers wa HQ... mtu wa HQ unless awe ameshakaa branch au amefanya operations, otherwise na yeye hawezi kuwa na msaada!

Sio siri, nimezi-miss siku zangu za kuwadaka watu wa forgeries! Majority ya forgeries zinazotokea wala sio za kutumia akili sana... zinatokea kwa sababu tu wengi wetu ni wazembe.
 
Anayepewa account Statement ni Authorised signatory tu haitolewi kama njugu
Swali hapo
Je ni Sethalienda kuchukua?
Je kwa nini isainie na head wa Legal na si front desk customer care?
Dude you are not making any sense. Kusaini statement haina maana nyingine zaidi ya kitendo cha kusaini hayo makaratasi. Huu uzi hauna taarifa yeyote mpya wala tija kwa jamii..
 
Huwa zina anza hivyohivyo baadae manaanza kutoka kamasi humu!
Umeelewa uzi?
Hiyo ni akaunti kubwa hadi kupelekea request ya statement kisainiwa na senior na ambaye amejiridhisha kwa mengi- ndio kufahamu huko tunakokuzungumzia
Pia imezungumziwa kama shahidi muhim na sababu ya kuhitajika kulindwa
Elewa kufahamu sio kuhusika ndugu afwe
 
Last edited by a moderator:
Statement huaga anasign mtu yoyote tu ktk benki..

Statement anaweza kusign Maneja,Muhasibu na Au Banking Hall Supervisor.Hawezi kusign mtu wa Legal dept.Lakini information za hiyo bank account hawawezi kuziondoa sababu kwa sasa chungu kimekuwa chamoto sana.
 
Tetty kulikuwa na kitu kinapita juu kwa juu ndiyo maana hata huenda Supervisor ameiona mtandaoni tu
 
Last edited by a moderator:
Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.

That's one but second, kutoa na kusaini statement hakuna uhusiano wowote na kufahamu wapi transaction inaelekea... transaction inaweza kuwa imefanyika miaka kumi iliyopita na statement ikatolewa na kusainiwa leo!! Mtu pekee ambae anaweza kujibu swali la wapi pesa zimeenda ni mtu anayehusika na money transfer... huyu anaweza kuwa ofisa wa kawaida tu lakini kwa kuwa transaction zenyewe ni kubwa sana basi LAZIMA Branch Manager na/au assistance wake watakuwa wali-approve hizo transfer. Hivyo basi, mbali na Money Transfer Officer (or whatever the title they call), wengine walio kwenye nafasi ya kujibu ni meneja na assistance wake (for dual signature)

Na kwa ukubwa wa transfer hizi, je haikuhitajika approval ya BOT, au hapo utaratibu ukoje? Na je, wenzetu hawaombwi supporting document ya hizo transfer?
 
Hivi hatua zinaanza kuchukuliwa lini? au tusubiiri mpaka mkuu apone? By the way nimeona tangazo mkuu atashiriki mbio za dar marathon tarehe 7 mwezi huu which means yuko physically fit
 
Duuuh! Haya wenye picha ya huyo Hellen Makanza itupieni hapa ili tumpe ulinzi shilikishi.
 
Mkuu Chige asante kwa ufafanuzi wako! Mie sio mtaalamu wa mambo ya banking hivyo bado nina duku duku la kujuzwa zaidi - kwa mazingira yetu ya Tanzania hivi transfer ya kiwango kikubwa hivyo cha fedha kwa mara moja haipaswi ku-arouse interest ya kila mhusika kuanzia kwenye Branch mpaka HQ kutaka kumjua huyo "Mteja"?
Kwenye mabenki kuna kitu kinaitwa Know Your Customer... hii ni sheria ya BOT! Kabla hujafungua akaunti, lazima umtambue mteja wako vizuri! Kutegemeana na aina ya akaunti, wakati mwingine unaweza tu kujiridhisha na ID (kutoka mamlaka inayotambulika) but sometimes ni more than that! Hapa ni kwa personal account... for business account, mambo ni mengi zaidi ya hapo (lakini bankers wengi hawayafuati ndio maana forgeries zinatokea kirahisi).

Sasa basi, PAP ni mteja wa Stanbic. Assumption ni kwamba, Know Your Customer ilishafanyika since then na wala hawana sababu za ku-doubt his outward transactions.

Sehemu ambayo Stanbic walitakiwa kujiridhisha ni hiyo inward transaction ($ 22, 198, 544.60). Hapa Stanbic, kwa kungalia taratibu za ku-control money laundering, walikuwa wanalazimika kufuatilia na kujua source ya hiyo $22 million. Walikuwa na uwezo wa kui-hold account kwa muda ( au ku-hold hiyo amount) hadi pale watakaporidhika kwamba it's genuine inward transactions.

Kwanini unatakiwa kuwa makini kwa pesa inayongia? Tunaposema kutakatisha (laundering), maana yake ni kwamba, pesa inayotoka benki ni halali lakini si kila inayoingia ni halali! Sasa basi, ikiwa ilikuwa ni pesa ya drugs, na ikafanikiwa kuingia benki, siku nikiitoa inakuwa imeshatakata na yule atakaye-doubt siku nainunua Benjamin Mkapa Tower kitakachomwangaisha sio pesa nimetoa benki gani, bali zilitoka wapi zikaingia kwenye bank husika!!

Sasa basi, tuki-sum up! Stanbic walitakiwa kujiridhisha na hiyo $ 22 million! Hata hivyo, hizo transaction zinazoonekana kwenye statement sio cash bali ni money transfer.... which means zilienda kwenye bank/matawi mengine! Hivyo wa kumbana hapo ni yule anayezipokea(receiving bank)... kwa sababu ile ile inayombana Stanbic kufahamu zinakotoka $ 22 million!! Pamoja na hayo pia, hilo nalo linaweza lisiwe na nguvu... WHY? The transfer originated from genuine source (Stanbic). Kutokana na hilo, hizo receiving bank zitasaida tu kufahamu ni nani beneficiaries na ikiwa ilifanyika transfer zingine resulted to money... na hizo transfer zilienda wapi!
 
Tetty kulikuwa na kitu kinapita juu kwa juu ndiyo maana hata huenda Supervisor ameiona mtandaoni tu

Kilichotokea ni kuwa Officer ameiprint Bank Statement Managers wakakataa kusign au alimlazimisha officer ampe na ataisaini mwenyewe,huyo mwanasheria.
 
Umeelewa uzi?
Hiyo ni akaunti kubwa hadi kupelekea request ya statement kisainiwa na senior na ambaye amejiridhisha kwa mengi- ndio kufahamu huko tunakokuzungumzia
Pia imezungumziwa kama shahidi muhim na sababu ya kuhitajika kulindwa
Elewa kufahamu sio kuhusika ndugu afwe

Nilimjibu huyu!!!!!!
It s quite a simple logic, it does not need muscles to understand.
Inkoskaz anabeza wanao amini kuwa kumfahamu aliye certify kufunguliwa kwa akaunti Stanbic inatupa mahali pazuri pa kuanzia

quote_icon.png
By Inkoskaz Wale wale
Single mpya ya Chamellion
 
Na kwa ukubwa wa transfer hizi, je haikuhitajika approval ya BOT, au hapo utaratibu ukoje? Na je, wenzetu hawaombwi supporting document ya hizo transfer?
Huna sababu za kumuomba supporting documents kwa sababu huyu ni mteja wako na ulishamtambua siku unamfungulia akaunti. Unaweza kutaka supporting document if and only if, hayo ndiyo masharti ambayo aliyaweka yeye mwenyewe wakati anafungua akaunti! Baadhi ya taasisi zinapofungua akaunti, zinasema(written) in advance kwamba withdrawal above certain limiti lazima kuwe na hiki au kile (including people to authorize/approve).

Transaction pekee ambayo nafahamu lazima iwe na supporting document ni Government Cheques. Kabla government cheque haijalipwa, lazima kuwe na checklist iliyosainiwa na signatories wa akaunti husika otherwise, cheque hairuhusiwi kulipwa. Kisheria, hii checklist inatakiwa kufika bank kabla mteja hajafika lakini kwenye mambo ya business as usual, usishangae ukaona mteja mwenyewe anakuja na cheki na upande mmoja kabeba checklist. Only stupid person can effect such payment ingawaje zinafanyika sana hususani kwa cheki za halmashauri!!!

Kama nilivyosema awali, sehemu kubwa ambayo Stanbic wanawajibika ni hiyo inward transaction ya $ 22 million na sio hizo outward. Hiyo $ 22 million Stanbic ilikuwa ni lazima wajiridhishe kwamba ni genuine transactions...!

Hata hivyo, kuna post moja niliandika kwamba, unapomtambua mteja wako kwa mara ya kwanza, fanya jitihada za kufahamu ni kwanini anafungua akaunti... don't ask him/her a direct question kwamba kwanini anafungua akaunti! Hivyo basi, ukija kwangu na mathalani unataka kufungua personal account; naweza kukufungulia huku ukiwa na introduction letter peke yake provided nimejiridhisha na hiyo barua coz' sheria ya BOT ya Know Your Customer inasema "A customer should provide introduction letter OR ID card! Hata hivyo, ingawaje unafungua personal account, nikishagundua kwamba unataka ku-deposit cheque au kuna money transfer unaitarajia... hapo piga ua nabadilisha hiyo sheria mwenyewe na badala ya kuwa Introduction OR ID Card, itakuwa Introduction Letter AND ID card from mamlaka inayotambulika na hapo nitakuwa makini mara mbili ya ile ya awali! WHY? Ni kawaida sana kuona mtu aitwae Juma anakuja kufungua akaunti kwa jina la John kwavile ana cheki ya wizi yenye jina la John! Kwahiyo hapo lazima ujiridhishe kwa 100% kwamba huyu aliye mbele yangu ni John na huwezi kujiridhisha kwa barua peke yake!!

Sasa basi, ukija kwenye hiyo akaunti ya PAC...inaonesha wazi kwamba ilifunguliwa kwa ajili ya ku-facilitate hiyo inward transaction ya $22 million. Ukiangalia vizuri hiyo statement, utagundua hiyo $ 22 million ni transaction ya kwanza! Kwa kutumia kigezo hicho, Stanbic walitakiwa si tu kufahamu source ya hiyo $ 22 million bali ni kwanini baada ya muda zinaanza outwards transaction kutokea kwenye hiyo amount! Sisemi kwamba kuna dhambi hapo bali walitakuwa kuwa suspcious hasa kwa kuzingatia ni nani beneficiaries wa hizo outward transactions. Kama zilikuwa zinaenda kwa business entities, no offense coz' PAP ni wafanyabishara kwahiyo kwao ingekuwa ni rahisi kusema wanalipa suppliers wao! Lakini kama zilikuwa zinaenda kwa watu binafsi, nadhani walitakiwa kuwasiliana na TAKUKURU na ku-raise their suspicions.

Kama walihitaji approval ya BOT... kama hiyo sheria ipo sijui but if you ask me, naweza kusema hiyo sheria hakuna! Kwa akaunt za biashara kufanyika transactions kubwa ni jambo la kawaida.

Pamoja na yote hayo... hiyo statement hapo juu tunachoona ni only one page lakini ukisoma juu ya neno TAX INVOICE... juu kabisa ya kulia mwa statement, unakuta neno Page 1 of 7. Hizo page 6 zilizobaki sijui zimeishiwa wapi!!!
 
Supporting Documents zipo ila tatizo linakuja ni halali?Au pia zimekuwa forged?Ukumbuke Singasinga mwenyewe ni tapeli la dunia unafikiriaje Transactions zitakapopita?
 
Hizo transfers ni za nchini hapa hapa? Manake kama ni za nje, sio sheria ya BOT wenyewe kuwa ziwe supported?

Na hao PAP, ina maana hii ndio ilikuwa akaunti yao ya kwanza ya dola? Sio lazima ujibu hili ndugu yangu...najiuliza tu kwa sauti...
 
Back
Top Bottom