Hellen Kijo Bisimba ni nani?

mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.

Kwanza kabisa hakuna nchi inayoitwa "Lwanda".
Pia ningependa nikujulishe na kukuhakikishia 101% kuwa huyu mama, Dr. H. K. Bisimba ni mTanzania, amezaliwa Tanzania na ni mwenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro. Wazazi wake ni waTanzania sasa sijajua uraia mwingine unaouongelea unatokana na nini. Namfahamu kwa ukaribu sana; ni mwanaharakati wa kweli kama wanaharakati wengine na ni mtetezi wa haki za binadamu ambacho naamini ndio kazi yake katika ofisi aliyopo sasa. Kwa dondoo tu, "Kijo" ni ubini wake kabla hajaolewa na Bisimba ni baada ya kuolewa, i.e. jina la mumewe.
 
mama wa watu ni peace hana shida ana phd yake msomi mwanaharakati. Tanzania huwezi soma unaiomba mbona Magufuli kasema ambaye hataki kuishi TZ ahamie Kenya. mama Helen piga kazi
 
Mbona hizi porojo za kwamba wanaharakti wanafanya hv hili wapige picha wapelekee wahisani waendelee kulipwa mpunga zinaibuka sana??? Mbona mwanzo haya maporojo hayajakuwepo? Kwa kazi wanayofanya ni kubwa sana inabidi tuiweke kwenye ktb kwamba wawe wanapewa ruzuku.
 
huyu mama ni Mpare acaheni porojo na ni mtetezi mahiri wa hakia za binadamu...na haki huwa haiombwi
 
Ananilea nkya ndio mnampendaga,sijui kwa sababu ya uchagga wake au kitu gani sijui?
 
mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.

Fikra nyepesi hizo,kwanza hakuna nchi inayoitwa Lwanda,pili Tanzania hairuhusu dual citizenship,na Kijobisimba alivyo mwiba kwa serikali lazima wangeshamshughulikia,natumahi utakua umegundua kua hoja yako ni dhaifu na ya kuzusha
 
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake “NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA” aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA “
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?

  • Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
  • Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
  • Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?

Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno “NAMTAKA” kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.

Wewe una amini,yeye kwa taaluma yake anajua ni KUMTAKA rais kuwawajibisha wahusika na si KUMUOMBA rais
 
Ebu arudi kwao Rwanda tuone kama Kagame atamvumilia na hizo kiburi zake
 
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake “NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA” aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA “
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?

  • Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
  • Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
  • Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?

Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno “NAMTAKA” kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
Mimi nadhani tatizo lake ni kwenye maandishi mekundu hayo. Inawezekana ametemwa ki-aina si unajua tena yale mambo binafsi yanavyoumiza moyo?
 
Aje hata wa Cape Verde! Tunaangalia substance na sio uraia. Yaani kwa vile mtu anataka haki basi mpaka na uraia wake

tunaanza kuuchunguza. Haya, hawa wanaharakati wa 'Tanzania' wamefanya nini? Tunaweza kuhoji credibility ya asasi

nyingi za kiraia lakini sio LHRC! Imefanya mengi kuwatetea wale wenye uhitaji.
 
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake "NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA" aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA "
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?

  • Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
  • Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
  • Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?

Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno "NAMTAKA" kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.

Dah, hakika kwa chokochoko watu hawajambo. Sidhani kama kutumia neno NAMTAKA inakufanya ufikiri haya. Mara ngapi

DR Slaa na Chadema WAMEMTAKA Kikwete kufanya jambo flani? Mara ngapi sijui Jukwaa la Katiba wamemtaka Kikwete

kufanya jambo flani? Nadhani mama alikasirishwa na hali ya mambo ilivyokuwa na kwa sababu kidemokrasia wananchi

wameiweka serikali wana haki ya kuitaka ifanye jambo fulani. Pengine kuna unalolifahamu kwa undani, tujuze!
 
Mbona hizi porojo za kwamba wanaharakti wanafanya hv hili wapige picha wapelekee wahisani waendelee kulipwa mpunga zinaibuka sana??? Mbona mwanzo haya maporojo hayajakuwepo? Kwa kazi wanayofanya ni kubwa sana inabidi tuiweke kwenye ktb kwamba wawe wanapewa ruzuku.

Subiri mmoja hapa ampoteze mumewe (God forbids), halafu anyang'anywe mali zote, akose hata hela ya pango ndo

ataelewa kama LHRC wanafanya kazi kupiga picha za kuwapa wahisani au kweli wanawasaidia wanyonge kupata haki zao
 
Wanajamvi tusidanganyane! Haki haiombwi ila inatakiwa. Hivyo mama Kijo kasema kweli wala tusiingize utusi au unyarwanda ndio maana tunaumia kwa sababu ya kuomba haki yetu badala ya kuitaka!......

Unaloongea ni kweli.... Lakini kumbuka demand si lazima kudai kwa ubabe.... Waweza dai bila kutumia huo Ubabe. Maybe sababu J.K ana madhaifu kibao na wananchi hawamtaki wanaona sawa tu! But at the end of the day kauli ya "NAMTAKA" moja kwa moja is not respectful.... Ni sawa na wewe uko kwako anakuja mwanao kazini mbele ya wafanyakazi wenzio na kukudemand "Baba nakutaka uende sasa hivi nyumbani ukashughulikie swala la Umeme".....
 
Back
Top Bottom