Hellen Kijo Bisimba ni nani?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake "NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA" aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA "
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?

  • Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
  • Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
  • Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?

Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno "NAMTAKA" kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
 
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake “NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA” aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA “
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?

  • Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
  • Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
  • Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?

Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno “NAMTAKA” kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.

Mama Hellen Kijo Bisimba ni mtanzania mzalendo asiye na unafiki full stop.

Mama Hellen Kijo Bisimba ni mtanzania mzalendo asiye na unafiki full stop.

mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.
 
Mama kijo binafsi kwangu yoyote anayetetea wengi ni mpigania haki, panapo haki Mungu yupo.Nawaombea mungu awatangulie wote wanaotetea watanzania.safari ni ndefu lkn tutafika.
 
uko sasa ni mnyarwanda kwao wamezoea vita
...awe myarwanda,mkongoman,mzambia,mshona,mkenya,mganda au yeyote yule haijalishi,na kama kunawengine wapigania haki popote pale duniani tunawakaribisha waje waungane na huyo mama ili Watanganyika wapate ukombozi wa kweli...soma historia vizuri,utajua ni Watanganyika wangapi walipoteza maisha yao kwaajili ya kuwakombo raia nchi za Namibia,Msumbiji,Zimbabwe nk...NI HERE VI
 
Back
Top Bottom