Heligoland-Zanzibar Treaty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heligoland-Zanzibar Treaty

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Darwin, Oct 29, 2008.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ujerumani walipoteza makoloni mengi wakati huo wa nineteen kweusi.

  Walibadilisha Zanzibar na Helgoland.
  Zanzibar ikawa himaya ya muingereza.
  Je kama Zanzibar ingebakia kuwa himaya ya mjerumani ingekua mahali gani kiuchumi?. Je Zanzibar ingekua kama Netherlands Antillians?


  The Heligoland-Zanzibar Treaty (German: Helgoland-Sansibar-Vertrag) was an 1890 agreement between the United Kingdom and the German Empire - hence also Anglo-German Agreement of 1890 - concerning mainly territorial interests in Africa.

  A common erroneous assumption is that Germany traded possession of East African Zanzibar for the North Sea island of Heligoland.[citation needed]

  Rather, Germany gained Heligoland (Helgoland in German, originally part of Danish Holstein) in the North Sea, the Caprivi Strip (chieftainship of the Fwe people in Namibia), and a free hand to control and acquire the coast of Dar es Salaam that would form the core of German East Africa (later Tanganyika, now the mainland component of Tanzania).

  In exchange, Germany handed over to the UK the protectorate over the small Sultanate of Wituland (Deutsch-Witu, on the Kenyan coast), parts of East-Africa (vital for the UK to build a railway to Lake Victoria), and pledged not to interfere in the actions of the UK vis-à-vis the Sultanate of Zanzibar. The UK declared a protectorate over the insular sultanate of Zanzibar (the islands of Zanzibar and Pemba) and, in the subsequent 1896 Anglo-Zanzibar War, gained full control of the state.

  In addition, the treaty established the German sphere of interest in German South-West Africa (now Namibia) and settled the borders between German Togoland and the British Gold Coast Colony and German Cameroon and British Nigeria.
   
 2. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #2
  Oct 30, 2008
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Wajerumani mpaka leo wanasikitika kuikosa Zanzibar ingawa wangekuja kuikosa tu baada ya vita vya pili vya dunia.
   
 3. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2008
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  kama wewe ndiye yule zitto mwanasiasa na maneno haya yanatoka mdomoni mwako basi kazi bado tunayao! sasa hapo unachotaka kusema ni kipi na una maana gani? una uhakika gani kama hao wajerumani wanajutia kuikosa zanzibar? je una uthibitisho gani ? hicho kisiwa kingine cha heligoland kipo ulaya na inavyoelekea wana historia nacho na jinsi ilivyo sio kama wajerumani walinyang'anywa zanzibar ni kwamba walibadilishana kwa hiari kabisa sasa iweje leo wajutie kitu ambacho walikitoa kwa hiari yao?iweje waweze kujutia kupata kisiwa walicho karibu nacho ukilinganisha na cha mbali?
  nazidi kupoteza mategemeo yangu kama wewe ni kweli yule zito mbunge tunaemsikaaga, najaribu kujishauri na kujilazimisha kuamini kwamba siye......bali kuna mtu tuu anayetumuia jina lako... kwani haiwezekani kabisa mtu ambaye siku moja tunaweza kufikiria kumchagua kuwa raisi akaandika mistari miwili isiyo kuwa na kichwa wala miguu... uwezo wa kuchanganua na uelewaji wako wa mambo kutokana na ulichoandika ni mdogo sana na kama wewe NI ZITO NAKUOMBA RADHI KWA HILI NINALOANDIKA SASA KWAMBA HAUNA UWEZO WA KUWA KIONGOZI NCHINI MWETU NI BORA UELEKEZEE NGUVU ZAKO SEHEMU NYINGINE LKNI SIO KUTAKA UTUONGOZE!
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Lira na fila havitengamani
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Nafikiri na wewe umekurupuka kwa sababu ukweli ni kuwa tendo la kuiachia Zanzibar halikuwa la hiari kama unavyosema. Walilazimika kufanya hivyo kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wao. Hilo tendo lilileta manung'uniko makubwa miongoni mwa raia wa Ujerumani huko kwao. Hadi leo hii wanajiuliza ingekuwaje kama utawala wao usingechukua hatua kama hiyo. Hata hivyo kama alivyosema Mh. Zito wangekuja kunyang'anywa anyway baadaye.
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Oct 31, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kijakazi

  Hebu naomba unisaidie hapa kwani umeandika jambo la kufurahisha sana.

  Mimi ninajaribu kumwangalia jamaa yule aliyehukumiwa ama kukatwa mikono yote miwili au kukatwa miguu yote milwili. Akapewa nafasi ya kuchagua, halafu yeye akachagua kukwatwa miguu yote miwili il-hali abaki na mikono anayoweza kuitumia angalau kujipatia riziki.

  Je kwa mantiki yako unadhani kuwa ni kosa kwa huyu jamaa kujutia kupoteza miguu yake kwa vile alichagua mwenyewe?

  Nikirudi kwenye hili na Zanzibar na Heligoland, Je huoni kuwa kushindwa kwa ujerumani hapa Tanganyika kulichangiuwa na wao kuwa wamezungukwa na maadui pandse zote kuanzia Zanzibar Kenya Uganda, Kongo, na Zambia? Huoni kuwa kama wangekuwa wanaimiliki Zanzibar wangekuwa wamepunguza nguzu za maadui?
   
 7. tonge nyama

  tonge nyama JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 372
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 80
  Kwa hili naunga mkono.
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Oct 31, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  what do the highlighted terminologies mean kabla hatujaendelea mbali na
  hii mada?
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Oct 31, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kijakazi,

  try and be civil.The comments you are spewing are uncalled for in this
  forum please.
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Oct 31, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,737
  Likes Received: 4,960
  Trophy Points: 280
  ..kipande hiki cha mwisho cha habari kina maanisha nini?

  ..ina maana ktk makubaliano ya Heligoland, Wajerumani waligawiwa Namibia,Togo,na Cameroun, in exchange for Zanzibar?
   
  Last edited: Nov 1, 2008
 11. D

  Darwin JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kijakazi wajerumani kuichia Zanzibar haikua hiari bali walikubaliana kwa shingo upande.
  Helgoland ukubwa wake labda imepita kidogo tu kisiwa cha Bongoyo na hakuna chochote ambacho ni muhimu kwa wajerumani.

  angalia ukubwa wake http://www.grosskurth.de/images/Helgoland2.jpg

  Walibadilishana na waingereza kipindi kile mjerumani na mwingereza hawakua marafiki sana , kwahio wakaona tukichukua Helgoland tutakua safe kutoka kwa maadui.

  Walihisi kwamba waingereza itakua rahisi kwao kukitumia hicho kisiwa kama kambi ya jeshi kwahio wakitupa mizinga kwenda ujerumani ingekua rahisi.

  Wajerumani waliona kwamba waingereza wakiwa mbali nao itakua unafuu kwao kama kutakua na vita.
   
 12. Sekenke

  Sekenke Senior Member

  #12
  Oct 31, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sometimes "Less is More"

  Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Pengine Zitto kasema mengi zaidi kuliko hayo "mengi" uliyoandika au uliyotarajia aandike.

  Kwa kuwa uliishia kutoka nje ya mada, sikia hili: Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika, Kijiografia. Visiwa vya Unguja na Pemba ni sehemu ya delta, pale mto unapomwaga maji baharini.

  Ujumbe, take time to review the subject matter, then zoom on.
   
 13. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2008
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  wewe huna akili eti zanzibar ni sehemu ya tanganyika kijiografia!!! halafu uaandika kwa kujiamini mwenyewe na kejeri juu tena kwa kiingereza ili uonyeshe ulimbukeni! sasa wewe kijiografia tanganyika ni nchi kavu na zanzibar (unguja na pemba) ni visiwa iweje visiwa viwe sehemu ya nchi kavu????????????? hivi unajua tofauti ya hayo mawili kisiwa na nchi kavu? kama zanzibar ni sehemu ya tanganyika kijografia (kama unavyodai) kwa nini pia isiwe sehemu ya kenya au msumbiji au sheli sheli au madagascar kwa nini iwe tanganyika????? mimi nafikiri wewe shuleni ulikuwa unajifunza kiingereza tuu na si vinginevyo na sasa unataka kuonyesha ni jinsi ulivyofaulu ktk hilo kwa maana hata mtoto wa darasa la 5 shule ya msingi mianzini hawezi kuonyesha weupe kichwani kiasi hicho!!!!!!!!!!!!!!! angalau ungesema ni sehemu ya tanganyika kisiasa ingawaje bado si kweli lkni angalau ungekuwa hauko mbali sana na ukweli... inaelekea umekazania kujua kiingereza kwa maana ulifikiri kwamba ndio kuwa na akili kumbe ni kinyume chake.....
   
 14. Sekenke

  Sekenke Senior Member

  #14
  Nov 1, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtego. Umenasa. Case closed
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Seconded. Simple, short and right on target, adieou.
   
 16. S

  Stone Town Senior Member

  #16
  Nov 1, 2008
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalamu Alaykum.

  Kijakazi kwani mtu kuandika maneno kidogo wewe huwezi kufahamu? lazima mtu aandike ukurasa mzima? watu hawana time ya kusoma maneno mengi na mwandikaji anaandika kwa muhtasari tu sio lazima kuandika maneno mengi muhimu kinachoandikwa kufahamika.

  kuhusu mtu kutoa mwenyewe halafu ajute unashangaa kwa hilo? nitakutolea mfano mdogo tu ambayo kila mmoja wetu anaweza kuifahamu sitaki kwenda kwenye usomi ni mfano wa kawaida sana ambao upo katika jamii yetu. kwani mwanamme anapotoa talaka akamwacha mkewe au mpenzi wake anapoachana naye mara zote hutoa kwa khiyari maamuzi hayo? si wakati mwengine hutoa maamuzi then baadae akayajutia maamuzi yake? ndio hao wajerumani...

  usiku mwema
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Nov 1, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,737
  Likes Received: 4,960
  Trophy Points: 280
  ..kama walishazungukwa na maadui Kenya,Uganda,Congo,Zambia,Malawi..basi Zanzibar isingeweza kuwa ya msaada mkubwa.

  ..halafu kipande cha habari tulicholetewa kinadai mkataba wa Heligoland ulihusisha pia makoloni mengine ya Ujerumani mfano Togo,Namibia,na Cameroun.

  ..nadhani kwa kuangalia rasilimali zilizoko Togo[phosphate],Namibia[diamonds,uranium],na Cameroun[mafuta] basi lazima mtu anayeongozwa na faida za kiuchumi would pick those three over Zanzibar.
   
 18. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kumbe zanzibar ilikuwa na hadhi kiasi cha kubadilishwa kwa nchi zote hizo?
   
Loading...