Hela ya Richmond inalipia kampeni za UKAWA??

Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.

Ukiona mtu anaandika hivi...

Lazima uwe na mashaka kama hatumii masaburi kufikiri...
 
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.

Ndio anazimalizia! Kwa hali ilivyo akikurupushiwa kesi sshv hana ela ya kuruka nayo
 
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.

Hebu jielimishe kwanza kuhusu RICHMOND halafu uje. Acha kudandia vitu usivyovijua vizuri.
 
TANESCO yaendelea kuilipa Richmond mamiloni

By admin on February 20, 2008 - 2:33 am

Licha ya Kamati ya Bunge kupendekeza kufutwa kwa mkataba wa Richmond na kutaka malipo ya Sh. milioni 152 yanayotolewa kwa Dowans kila siku yasitishwe hadi jana Shirika la Umeme(TANESCO) liliendelea kuilipa kampuni hiyo.

Na Restuta James

Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bw. Daniel Mshana aliliambia gazeti hili jana katika mahojiano yaliyofanyika jijini Dar es Salaam kuwa shirika linasubiri maelekezo kutoka serikalini.

Alitoa ufafanuzi huo alipoulizwa iwapo TANESCO imejipanga kusitisha malipo hayo na pia aliulizwa kiasi cha fedha kilicholipwa kwa kampuni hiyo tangu kuanza kwa mkataba huo uliosainiwa mwaka jana.

Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.

Kumamamako
 
Ni lazima kila mmoja alipe sio wazungumza mambo ya Richmond ili watannzania wasahau Escrow, mikataba mibovu ya raslimali za umma, uuzwaji wa nyumba za serikali, Uda, ufisadi bandarini, usafirshaji wa wanyama kama Twiga toka mbuga za wanyama na mengine mengi....lazima wawajinishwe sio wajidai wanaumizwa na suala la miaka nane nyuma wakati kuna madudu ya ajabu kibao. ....
 
Hebu jielimishe kwanza kuhusu RICHMOND halafu uje. Acha kudandia vitu usivyovijua vizuri.

ZA EPA zilimleta mwasisi wa maisha bora ilikuwa sawa.na ESCROW zinampa tafu hapa kazi tu ni halali.leten majina stanbic muumbuke.kaa kimya tunawaadhibu
 
jingalao;
Kweli weye ndio jingalao kweli kweli. Na zile za EPA, ESCROW, Meremeta na pembe za ndovu kule China, na, na, naaaaa. Jamani, msitupe mawe nyumba ya jirani wakati kwenyu mnalala nyumba ya vioo, huku unaona kabisa mawingu ya mvua yametanda tena mazito. Ohoooo.
Endeleeni na kusema hovyo wale waliogawana fweza kwa mifuko ya sandalusi hawajafa jamani. Tuseme hizo ndo zinampeleka Magufuli majimboni?? Ndo mnawanunua nazo viongozi wa UKAWA walete fujo ili sisi tubaki kupoozesha mambo huku nyie mnachanja mbuga?? Hapana aiseee, Otee, otee naiyo. HATUDANGANYIKIIIII.
Acha hiyo feza ya Richmond inunue hayo mafuriko ila nadhani, hayo mafuriko yataisomba ile gate ya Ikulu tuingie kiulainiiii.
Kumbe Mmasai naye ana akili, akaamua kuzitumia kuwanunua watu ili wamchague, nyiye mnakimbiza kwenda kuficha ng'ambo. Mtazirudisha tuuu mwaka huu. Ati hapa kaz tuu, na tutafungua mahakama ya mafisadi. Aseme atatupiga changa la macho ka lile la Mramba na Yona ili siku zipite. HAMTOKI MWAKA HUU
Naona mada huielewi kabisa.
Fedha ya RICHMOND imeiteka kampeni halali ya kuondoa ufisadi nchi, kampeni iliyokuwa inaongozwa na CHADEMA.
Sasa CHADEMA imenunuliwa, wanyonge twende wapi?
 
Kama kuna serikali dhaifu basi ni hii ya Kikwete. Yaani mtu achote fedha za Richmond na asishitakiwe? Ndio amewatuma kuja kupiga majungu kwenye mitandao? Mkamateni Lowassa acheni umbea
 
Usiwe na wasiwasi mkuu, kuni zinachochewa!
 
Back
Top Bottom