Hela ya Richmond inalipia kampeni za UKAWA??

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,566
Reaction score
28,527
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.
 
Hhm! Ni Raisi huyu huyu aliyetoa maneno matamu matamu na ahadi lukuki wakati wa kampeni, huyu huyu ndiyo aseme kitu nimuamini?

With all due respect, i beg to differ.
 
Watanzania ni wavivu sana kufikiri.
Walioingiza RICHMOND nani na wakaiingiza Dowans kuchukua mikoba nani?
Nyuma ya pazia utawakuta mafisadi wamejipanga, kundi la akina R...., na ndio vinara wa kutoa pesa kupitia mgombea wa Ukawa toka akiwa CCM.
CCM walipomkata Lowassa , walilikata kundi zima la mafisadi.
 
Wakati mwingine tuongee kwa facts. Hela ya Richmond maana yake ni nini? Issue ya Richmond ni ya kimkataba, kwamba uliiumiza Tanesco. Leo mtu anakwambia hela ya Richmond.

Utterly nonsense!!
 
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.
Mitambo ya Richmond ndo ya Symbion sasa hivi kwa hiyo hapo analipwa nani? Na kwanini alipwe kama ni ufisadi kwanini tusiache kumlipa?
 
Kwahiyo chadema hawajawahi kushiriki uchaguzi mkuu na kufanya kampeni wenyewe tena kwa chopa bila lowassa? Akili zako huenda ni za kushikiwa
 
Naona Richmond imetibua vibaya sana saikolojia ya taifa. Hata tuliowapa dhamana kubwa katika mustakabali wa taifa wameishia kupayuka ovyo na kumwaga mipasho, vijembe na kila aina ya usanii badala ya kutimiza wajibu wao.

Kwa mtindo huu ni heri yule "mhusika mwenyewe" aingie ikulu akalifunge jalada hilo na kuwadhibiti "wenzake" wanaoendelea kujikanyagakanyaga kama kaa waliokosa dira kuhusu hoja nzima ya ufisadi.
 
Kamuulize swali hilo Mwenyekiti wako ambaye amekimbilia mafichoni Marekani, baada ya kulipuliwa na Lissu huko Morogoro!
 
Watanzania ni wavivu sana kufikiri.
Walioingiza RICHMOND nani na wakaiingiza Dowans kuchukua mikoba nani?
Nyuma ya pazia utawakuta mafisadi wamejipanga, kundi la akina R...., na ndio vinara wa kutoa pesa kupitia mgombea wa Ukawa toka akiwa CCM.
CCM walipomkata Lowassa , walilikata kundi zima la mafisadi.

Hapana. Ndani ya CCM kuna makundi mengi ya mafisadi hata na usiowafikiria. Kwa hali ilivyo ndani ya CCM huwezi kuwa kiongozi bila kundi flani kukumiliki au kuona uwekekano wa "kukuweka kwenye chupa" Mule lugha inayoeleweka na ya kukubalika ni lugha ya maslahi tu. Sasa ni nani ameshinda kujihakikishia maslahi hayo kwa miaka flani, hiyo ndiyo inayowapa ninyi taswira ya kuona waliobaki ni salama.

Ningeweza ningeenda ndani zaidi. Ila siwezi. Anzia hapo na wewe endelea mbele kufanya uchunguzi wako Kama unataka kujua
 
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.

153 million? Account za Uchaguzi hizi nawe umeambiwa jamii forum kuzuri na umekuja!
 
Naona Richmond imetibua vibaya sana saikolojia ya taifa. Hata tuliowapa dhamana kubwa katika mustakabali wa taifa wameishia kupayuka ovyo na kumwaga mipasho, vijembe na kila aina ya usanii badala ya kutimiza wajibu wao.

Kwa mtindo huu ni heri yule "mhusika mwenyewe" aingie ikulu akalifunge jalada hilo na kuwadhibiti "wenzake" wanaoendelea kujikanyagakanyaga kama kaa waliokosa dira kuhusu hoja nzima ya ufisadi.

Lowassa kiama chake kinakuja
 
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.

Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.

Na pesa ya EPA na ESCROW inaendesha kampeni ya ccm siyo
 
Back
Top Bottom