Hela ya mwanamke

Hela ya mwanamke

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,959
Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho
◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁
◇ Masufuri na vyombo vya kupikia vipo vingapi?
◇ Mapazia ya mlangoni na dirishani yapo mangapi??
◇ Mapambo kama maua na mapambo mengine vipo vingapi??
◇ Vest na nguo za kulalia zipo?
◇ Vikangagio vya mlangoni vipo vingapi ?? Huenda ata bei huijui😁

Tupunguze ulalamishe et ela ya mwanamke hainaga kazi wakati ndani kuna vitu na haujui bei yake.
 
Hivyo vikanyagio vina thamani ya milioni 3 au 4 kwa mwaka?

Mapazia, na vinyangalio vyote vinazidi thamani ya milioni 5 kwa mwaka?

Ndio ninyi zawadi kubwa ni wallet na socks halafu mnaonga milioni 😂😂😂😂😂😂
ila sivimeonekana vipo, kdg kasapoti kanaonekana
 
Hivyo vikanyagio vina thamani ya milioni 3 au 4 kwa mwaka?

Mapazia, na vinyangalio vyote vinazidi thamani ya milioni 5 kwa mwaka?

Ndio ninyi zawadi kubwa ni wallet na socks halafu mnaonga milioni 😂😂😂😂😂😂
Huo ni mfano tu lakini wanaume kuna matumizi madogo madogo mengi sana nyumbani mnayapotezea, na mwanamke ndo atajua saiv tuna uhaba wa sufuria za kupikia au familia imekua inabid kuongeza mataulo ila kutwa lawana
 
Kwa ufupi ni hivi pesa ya mwanamke ni yake na ya mwanaume ni ya wote ,
Ikiwa hutaki hii kanuni basi usioe au usiishi na mwanamke .
Maamuzi ya pesa yake anayo mwenyewe .
 
Back
Top Bottom