McLaren JF-Expert Member Joined Feb 19, 2025 Posts 1,150 Reaction score 3,658 Jul 20, 2026 #1 Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani humu tuelezane
Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani humu tuelezane
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 977 Reaction score 1,401 Jul 20, 2026 #2 Inaitwa play money Kama unabisha shauri zako
WAIKORU JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,769 Reaction score 2,940 Sep 25, 2026 #3 Tumuulize AI
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,659 Reaction score 870,342 Sep 25, 2026 #4 McLaren said: Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani humu tuelezane Click to expand... ROSCA contribution au Rotating Savings and Credit Association funds.
McLaren said: Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani humu tuelezane Click to expand... ROSCA contribution au Rotating Savings and Credit Association funds.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,588 Reaction score 28,755 Sep 25, 2026 #5 Money of play...