Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,632
Hivi hizi hela za field zitatoka lini ? Mwanzoni tuliahidiwa kuwa jumanne ya wiki hii zitatoka ila hazikutoka na siku za field ndio hivyo zinazidi kupita.Serikali ilitangaza kusogezwa mbele field mpaka 8/8/2016 ila hiyo tarehe ishapita na bado hakijaeleweka.
Wakuu mwenye updates za hela hizi za field atujulishe hapa.
Wakuu mwenye updates za hela hizi za field atujulishe hapa.