wakati mwngine mnaleta hoja ambazo kila mtu mwenye average mind anashndwa kujua unatumia vigezo gani kuarrive to conclusion!, znazoogozwa na hisia binafsi. Sasa we unataka kusema hakuna mwanamke wa kikurya mwenye tabia ovu kwenye ndoa yake? Au kusema wake wote wa kihaya wana tabia sawa. Kuweni Objective kwenye mada zenu acha subjectivity
Ni kweli mkuu ila kumbuka mmekata antena za dada zenu wakati wahaya zo zinashika mawimbi kama kawa!
Mkiolewa mnatulia sana kwenye ndoa zenu mnajituma sana kufanya kazi na kutunza familia na wala sio wavivu kama wahaya ambao wakiolewa kutwa hushinda vibarazani wakijiremba na kujichubua.
Dada zangu kwenye ndoa ni wavumilivu sana hamna longo longo na mna malezi mazuri hata kwa watoto wenu hakika nyie ni mfano wa wanawake wa kiafrika mlio funzwa mkafunzika.
wakati mwngine mnaleta hoja ambazo kila mtu mwenye average mind anashndwa kujua unatumia vigezo gani kuarrive to conclusion!, znazoogozwa na hisia binafsi. Sasa we unataka kusema hakuna mwanamke wa kikurya mwenye tabia ovu kwenye ndoa yake? Au kusema wake wote wa kihaya wana tabia sawa. Kuweni Objective kwenye mada zenu acha subjectivity
Kweli mkuu kilambalambila; ninadhani uwezo wa kufikiri wa huyu mleta uzi ni mdogo sana. JF inazidi kupoteza umaarufu kutokana na kujaa kwa watu wenye hoja dhaifu kama akina Molembe!