Hekalu la nani hili?

Hekalu la nani hili?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
Mwamvita Makamba Property in Tanzania
IMG_3622.jpg

Not rented (bought) yes, if we dream hard enough, we can live out our dreams...


The doorway
 
Hili jengo picha zake ziko hapa JF muda mrefu!
Picha hii hapo juu yenyewe inajieleza,kwamba ni la nani!!Au unataka jibu gani?
 
[h=1]Picha za matukio ya uzinduzi wa Nyumba ya Bi. Mwamvita Makamba, ambaye ni Mkurugenzi wa Biashara na Masuala ya Jamii, Vodacom.[/h]
Wageni waalikwa....
Mr & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita kwenye dua hiyo maalum..
Wageni waalikwa wakijadiliana mambo....
Mzee Yusufu Makamba akifurahi na mmoja wa wajukuu zake ndani ya Jumba
Maustadhi wakipiga Sala kabla ya kuanza dua ya kuiombea Nyumba na wakazi wake....
Kutoka kulia, Bi. Mwamvita, Sophie, Jaki, na Adeline....
Bi. Mange Kimambi akiendelea kupoz.....
Mange Kimambi akiwa ndani Jumba!
Jumba kwa nje tena
Jumba la Bi. Mwamvita lionekanavyo kwa nje

 
Huyu kaleta habari hii makusudi humu unalako, mdau wa pili kakujibu weye huyo unaongeza na picha tena.

Unajua ni ya nani na umeandika jina, na unajua wewe kwa nini unataka labda watu fulani waone kiaribike kitu nk

Maana siku hizi picha za Vodacom zimepungua kwenye mtandao.

Sasa tueleze ni nini kinakuuma ndugu hadi unataka rudia story humu?
 
Hlf wala c jumba la ajabu, ndio nzuri lkn c kuishabikia, me nina mkwe wangu mdogo wamenunua hzi nyumba 6, c ziko nyuma ya myfare plaza, so me naona za kawaida, hata m2 waweza jenga
 
eti hekalu!!:heh: we unaonekana haujui kiswahili, haka kakiitwa hekalu na pale ikulu tupaiteje, kajumba kenyewe kamekaa bila mpangilio utadhani nyumba za manzese.
 
hao wanaopiga kelele yawezekana wamepanga tandale hao.wabongo kwa kuponda!
 
Jamani, mshahara wa voda unaweza kununua nyumba ya usd.600,000/-?
kama ni hivyo, mbona mimi mtumiaji wa simu nazidi kuwa fukara?
Ngoja nivunje hii laini, naona nawatajirisha wenzangu
 
Anafanya kazi gani mpaka kumiliki kitu kama hicho wakati mimi tangia nazaliwa wazazi wangu wanaangaika pasipokupata hata nusu yake?
 
attachment.php

:juggle::juggle::juggle:
 

Attachments

  • ScreenShot_20150810013824.png
    ScreenShot_20150810013824.png
    26.2 KB · Views: 3,279
update:

boyfriend wake alimtimua kwenye hiyo nyumba ikabidi amuombe rostam apate uhamisho wa south africa
 
Back
Top Bottom