Hekalu la nani hili?

Hekalu la nani hili?

Wazee walienda kuzindua nyumba ya boyfriend?

aliwaingiza choo cha kike,kwa nini mtu udanganye hadi wazazi na watu walikuja kupiga dua pale na marafiki baada ya siku chache unatimuliwa na boyfriend .
 
Hii post ya nani kwani?

attachment.php

:juggle::juggle::juggle:
 
Heheheee kuna watu humu eti Hawa ndo ma role model waoo.....
 
Kilicho sababisha hii nyumba kuletwa humu ni nini?
 
brother angepata uraisi ingerudi na kwambia na mngetukoma humu,kuanzia boyfriend hadi wapambe wake
NB;wa uswazi ni wauswazi hata umpeleke Seychelles"
 
acha wivu,

Wivu! Hiyo nyumba imejengwa kwa gharama kuuubwa. lakini kiwango chake ni cha kuchekesha. Halafu wewe unaonekana bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga ndio maana unakodoa sana macho. Kudadadeeki
 
Au utakuwa bado unaishi kotaz za polisi. Maana nimeangalia jina lako tu nikajua ni mtu wa namna gani.
 
Hlf wala c jumba la ajabu, ndio nzuri lkn c kuishabikia, me nina mkwe wangu mdogo wamenunua hzi nyumba 6, c ziko nyuma ya myfare plaza, so me naona za kawaida, hata m2 waweza jenga

Ukiachika utajivunia nazo? acha misifa ya kibwe.ge
 
Hlf wala c jumba la ajabu, ndio nzuri lkn c kuishabikia, me nina mkwe wangu mdogo wamenunua hzi nyumba 6, c ziko nyuma ya myfare plaza, so me naona za kawaida, hata m2 waweza jenga

Mswahili kwa hasada ni nguli

Nyumba nzuri maashaallah
 
Back
Top Bottom