Heeee mama kumbe ushenzi uliuanza zamani..........

Kama hamueshimu mama mzazi sidhani kama atakuheshimu wewe wala wazazi wako
 
Kwanza inaonyesha mazingira ya hapo kwao sio ys kistaarabu
 
motto umleavyo ndivyo akuavyo. It is not :A S new:
 
katika mapenzi ni ushauri unatolewa tu wala si maamuzi ya kwamba umuache umpendae au la
kaika mahusiano hauwezi kumpata mwenye amekamilika kwa asilimia 100
hapa umeandika mapungufu yake ulioyaona kwa siku moja
je tangu mmekua kwa relation kwani ni mabaya ngapi kakutenda?
na ni mazuri ngapi kakutenda, kakupa penzi mpaka unathubutu kusema kama ni kugegeda nishagegeda sana
je hili la kutofautiana lugha alipokua anaongea na mama ake ni zito kuliko mengine yote na kwamba alirekebishiki?
na wewe binafsi ni mara ngapi umefanya mambo juu ya pazia ambayo kama akijua au unayaficha ila yeye bado hajayatambua ni mangapi?
tafakari,,, mapenzi kati yake na wewe yakiwapo chukua hatua
 
Watu huwa mnajitahidi kutoa ushauri weeeh! Ila baada ya muda kadhaa zinakuja tena thread za najuta nilimuoa mara imekuwa blahh blah... Wengine ni sikio la kufa na hapa huwa wanakuja tu kuchosha watu na thread zao!

Kaka huyo tupa huko, kama tu ndugu wa kuzaliwa naye anakwambia unaongea na malaya hao wa kwako itakuwaje
 
huyo hakufai, kwa jinsi tu mama yake ulivyo muhadithia na yeye mwenyewe alivyo hana sifa ya kuwa mke.
Tupa kuleee
 
Pole sana Kaka. Ukweli mchumba ambaye hawezi kukustahi akiwa bado kwao hataweza kukustahi ukishamuoa. kama hawezi kumheshimu hata mama yake mzazi kamwe hatawaheshimu ndugu zako. Ona tu hata lugha anayotumia kwako mwenyewe haina staha hata kidogo. Wanawake wako wengi wazuri na wenye staha kuliko huyu. Tafadhali usirisk maisha kwa kudhani atabadilika akiwa kwako. Kwa ufupi, huyo hakufai na muepuke kabla hujachelewa,vinginevyo utajutia.
 
Fafanua picha ipi aweke, ya ugolo, yake mwenyewe, ya mamakwe, ya mke mtarajiwa, ya shemeji, ya simu, ya kwako, ya usafiri au picha gani unataka aweke
Weka picha weka picha, hata pasipostahili picha, weka picha, mbee.....!

Weka picha!
 
Hio Itakilua familia ya aina ya kambale, Baba, mama na watoto wote wana ndevu.....
 
soma alama za nyakati itaja kula kwako mkuu!nyota njema huonekana asubuhi kimbia tu mwenzangu,, huyo mchumba ako ni janga la kitaifaaa!
 
Habari za mda huu wana MMU

Majira haya ya saa 4 usiku natoka kwa mupenzi ninaetarajia kumtia chuo (ndoa) aliniita nimpelekee hela ya kujikimu kwa matumizi.

Nimefika tumekaa barazani mara kapita mama yake alikua ameletewa ugoro akausifu kwa kua ni mwingi akasema enzi anasoma chuoni alikua akibeba na kuenda nao kupiga uraibu huko chuoni na baazi ya wanafunzi walikua wakimuomba na alikua akiwapatia ila ilikua ukiwazingua mara walie,wengine hujikojolea.

"Mama kumbe ushenzi uliuanza zamani" maneno hayo yamemtoka mtarajiwa wangu kumuambia mama ake mzazi tukiwa barazani mi sikupenda nikamfinya kidogo kumuonesha nimechukia na asirejee tena.

"Unanifinya namna hii kwani yule ni mama yako" kauli hii ilizidi kunichoma na kunifanya nichukie zaidi na kujenga masuali yasio na majibu kwa haraka.

Alinyanyuka mchumba wangu kuenda kuchukua chakula ili amletee mtoto ale pale nje aliponyanyuka yeye akaja dada yake kuja kunipa kapani na kunisalimia shemeji yake sikuona vibaya nikamsimulia kisa cha mdogo wake na kumtaka amkanye kwani yule ni mzee wake yapaswa kumuhishimu.

Basi hapo mapenzi yaligeuka yakawa uhasimu alipotuona tunaongea na dada yake yeye hakurudi tena pale akaa pembeni ili kumrizisha nikamuambia njoo tukae wote "Sina ten muda wa kukaa njee naenda kulala" hilo ndilo lililokua jibu lake.

Niliendelea kupiga stori na dada yake na kumuambia unaona majibu ya mdogo wako hayo jeee huko katika ndoa itakuaje " Shem tabia ni kama ngozi mvumilie tuuu" alinijibu

Nikamuita mupenzi aje nimuage niondoke " kama umechoka kutoa umbea nenda zako" mi nikaamua kuwasha usafiri wangu na kuondoka.

Niko njiani kuelekea home sms kibao
Ukikaa na malaya wako mi sitaki kuongelewa km mimi sikufai basi mchukuwe yeye tena namba yake nataka ufute ukome kunidiskasi na mpuuzi yule tabia yako hii sijapenda

Sms ziko kama 10 kapiga simu sijapokea kaengeza na nyengine sms za kulani

"Bby samahani zilikua ni hasira tuuu plz pokea simu yangu"

Mi mawazo yananipa nimwage manyanga hasa kwa vile nishagegeda sana maana naona huko katika ndoa kutakua ni sawa na uwanja wa fujo kwa staili hii

Wadau niambieni munaonaje hii hali?
jaalia imekutokea ww

Kuweni makini kwenye kuoa maana ukikosea ni kama kuzika maisha yako kwenye uwanja wa fujo.
MANENO YA MAREHEMU BABA YANGU HAYO.
 
Liko tatizo katika familia hii ya "mupenzi" wako!
 
Kama haeshimu ndugu zake wako atawaheshimu kweli? Tafakari chukua hatua!!!!!
 
Mdogo wangu bora amekuonyesha live na sio kusimuliwa bora ukosee kujenga nyumba sio kuchagua mwenza akili kumkichwa
 
Huyo ni mamake na dadake!!!!! Subiri mamako na dadako waje wajichanganye akiwa tayari ni mother house....
 
First impression matters most......... Sijui kama atakufaa huyo!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom