heeee! Kumbe jamaa mliberaliii!?

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
468
Reaction score
398
habari za wikiendi nduguzangu wana jf?

Leo nimeamua kushare na ninyi kisa ambacho kimenitokea usiku wa kuamkia leo kama kama ifuatavyo;
mwanzoni mwa wiki hii rafikiyangu ambaye nilipotezana naye kwa muda wa takribani miaka 3 hiv alinipigia simu ya kwamba anataka kwenda mwanza akitokea dar so alisemapia atapitia hapa dom [ambapo mimi ndo naishi] angalau tukaenaye kama siku 2 hivi then ndo aende mwanza kwa vile nilikuwa alikua ni rafikiyangu sana na classmate wangu ambaye tulikua tumeshibana sikamwambia kirohosafiiiii aje tu maana itakua mzuka sana

alifika hapa dom siku ya ijumaa mchana akitokea dar,nikampokea na kumpeleka hadi sehemu niliyopanga ambapo ndo ninaishi tukapiga story mbilitatu nikamuonesha sehemu ya kuoga after that tukapiga luch pamoja na story za hapa na pale zliiendelea.ilipofika mida ya jioni ikanibidi tutoka tukaenda somewhere kupata maji ya rangi ya mende,pombe kali na nyamachoma/mida ilipoenda ikabidi tukodi tax hadi home,tukalala ila nilishtuka usiku kwa kuhisi ninapapaswa sehemuzangu za siri[gobore] nilipomuuliza nduguyangu kulikoni!?mbona sikuelewi?
Jamaa akaniambia ya kwamba yeye sio riziki na alikua anataka nimkabaang!

Aiseee! Nilitamani nimfukuze usiku wa manane ila roho ya huruma ikanijia nikaamua nimuache alale kitandani pekeyake na mimi nikaendakulala kwenye sofa/kochi!

Ila nashukuru leo mchana kaondoka

AMAKWELI UKISTA AJABU YA MUSSA........YA ---- HUNI#
 
Angalau mdau angemwelimisha madhara ya huo mchezo pengine angeweza kumsaidia kuliko kuja kumchoresha hapa!
 
umefanya la maana najua apa watakuja hakina mzabzab kuja kukwambia ungemla min kabaang.

ila umefanya la maana isipokuwa aujamuelimisha madhara ya hiyo kitu.
 
dah we jamaa una moyo m angeondoka apo apo na ngumi za kutosha unaeza ushangae unakaa mwez huna ta kumi kumbe kakugundia
 
punga la ubwete hilo lazima hukulifanyia ajizi mwana hizaya wewe
 
Nafikiria tu ni jinsi gani ulipata mfadhaiko,karaha,aibu,hasira..
Dah! Pole jembe
 
Ebu acheni unafiki. Naamini ya kumpongeza jamaa wengi wanaotoa maoni hapa kumpongeza jamaa kupiga choini huyo bwenga wake, kimoyomoyo wanasema "du hiyo bahati mbona haikunianghukia mimi!"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa wageni dizaini hiyo mijitu mingine inawalaza
na watoto chumbani...

sijui huwa watu wengine wanafikiria nini

mkuu pengine kinacho sababisha ni ukosefu wa vyumba vya kutosha huku uswazi kwetu
 
Mie sijui ndo ukoloni unaniathiri? Hivi mtu mzima kufikia kwa watu inakuwaje? Manake kuna wengine usiku wanapandisha maruhani utafanyaje kama haumjui? Unless ni ndugu ama rafiki wa karibu sana nadhani hata akija unapaswa umuweke hoteli.

Nijibu kiuwazi. Kuna siku rafiki yangu wa karibu sana alikuja kikazi mji nnaoishi. Akakaa hoteli akamaliza shughuli zake. Kwa sababu alikuwa anaondoka alfajiri na alifanya shopping sana kama kawaida yetu wadada nikamuambia nitamchukua aje alale kwangu ili alfajiri nimpeleke na mizigo yake stendi (taxi isingemtosha). Kabla sijamfuata akanipigia kuniambia yuko na dada mwingine ambae walizoeana hapo mkutanoni na anaona vibaya kumuacha. Nilimuambia mtu nisiemjua uzuri hawezi lala kwangu. Nilikosea?
Naunga mkono hoja, si vyema kabisa kumlaza mtoto na mtu yeyote yule hata wa karibu.
 
Pole na majanga kaka lakini next time jaribu ku avoid kulala na mwanaume mwenzio kitanda kimoja. Mpe kitanda wee ulale kwenye kochi au vice versa. Una bahati on this occasion jamaa alitaka umpakue, unaweza ukalala na mpakuaji na kama umekula maji ya mende kwa sana by the time unaamka itakua ni too late, utaskia harufu ya kinyesi tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…