heeee! Kumbe jamaa mliberaliii!?

heeee! Kumbe jamaa mliberaliii!?

aisee its horrible,anyway kama kuna mtu anahitaji kufahamu tiba ya huu ugonjwa/hii tabiakumsaidia mtu anayejua ana tatizo hili afanye yafuatavyo achukue ndizi aiweke kwenye moto bila kuimenya aiweke huko kwenye sehemu yake ya haja kubwa ni tiba ya hii tabia inaleta maumivu lakine inatoa tiba ya kudumu,faida za tiba hii itaunguza mishipa ya sehemu ya haja kubwa na hivyo itasinyaa nakurudia hali yake ya awali,pia inaaminika mtu aliyefanya mambo hayo anakuwa ana wadudu kama funza kwenye tupu yake ya nyuma wanaotokana na mbegu za uzazi zinapochanganyikana na hajakubwa(kinyesi) na hawa wadudu ndio humtekenya mhusika na kumsababisha ahitaji kufanyiwa hivyo hawa wadudud wataunguzwa na kufa kabisa kupitia hiyo tiba!
 
Duh!! Ameshika mtutu umepanic namna hiyo sipati picha ungestuka halafu ukakuta kiganja cha jamaa kinafanya doria kwenye ki.jambio chako ebannnae?!
 
Duh!! Ameshika mtutu umepanic namna hiyo sipati picha ungestuka halafu ukakuta kiganja cha jamaa kinafanya doria kwenye ki.jambio chako ebannnae?!


ha ha ha ha ha ha hapo pangekua hapatoshi jamaa!
Naamini keshoyake mngesoma kwenye magazeti#
 
Kiukweli Maisha ya Sasa ni kuwa makin saaana... Lasivyo utaliwa au kula kabaang.... Nyakati sio hizi..
 
Kiukweli Maisha ya Sasa ni kuwa makin saaana... Lasivyo utaliwa au kula kabaang.... Nyakati sio hizi..


ni kweli jamaa! Maana kama mtu unapenda kulala fo!fo!foooo! Kama umekufa hata ukiguswa kidogo hushtuki inakubidi uchunge sana
maana asubuhi usishangae kujikuta unarendemka kwenye kabaang!
 
Pole na majanga kaka lakini next time jaribu ku avoid kulala na mwanaume mwenzio kitanda kimoja. Mpe kitanda wee ulale kwenye kochi au vice versa. Una bahati on this occasion jamaa alitaka umpakue, unaweza ukalala na mpakuaji na kama umekula maji ya mende kwa sana by the time unaamka itakua ni too late, utaskia harufu ya kinyesi tu!

Nimecheka sana!
 
habari za wikiendi nduguzangu wana jf?

Leo nimeamua kushare na ninyi kisa ambacho kimenitokea usiku wa kuamkia leo kama kama ifuatavyo;
mwanzoni mwa wiki hii rafikiyangu ambaye nilipotezana naye kwa muda wa takribani miaka 3 hiv alinipigia simu ya kwamba anataka kwenda mwanza akitokea dar so alisemapia atapitia hapa dom [ambapo mimi ndo naishi] angalau tukaenaye kama siku 2 hivi then ndo aende mwanza kwa vile nilikuwa alikua ni rafikiyangu sana na classmate wangu ambaye tulikua tumeshibana sikamwambia kirohosafiiiii aje tu maana itakua mzuka sana

alifika hapa dom siku ya ijumaa mchana akitokea dar,nikampokea na kumpeleka hadi sehemu niliyopanga ambapo ndo ninaishi tukapiga story mbilitatu nikamuonesha sehemu ya kuoga after that tukapiga luch pamoja na story za hapa na pale zliiendelea.ilipofika mida ya jioni ikanibidi tutoka tukaenda somewhere kupata maji ya rangi ya mende,pombe kali na nyamachoma/mida ilipoenda ikabidi tukodi tax hadi home,tukalala ila nilishtuka usiku kwa kuhisi ninapapaswa sehemuzangu za siri[gobore] nilipomuuliza nduguyangu kulikoni!?mbona sikuelewi?
Jamaa akaniambia ya kwamba yeye sio riziki na alikua anataka nimkabaang!

Aiseee! Nilitamani nimfukuze usiku wa manane ila roho ya huruma ikanijia nikaamua nimuache alale kitandani pekeyake na mimi nikaendakulala kwenye sofa/kochi!

Ila nashukuru leo mchana kaondoka

AMAKWELI UKISTA AJABU YA MUSSA........YA ---- HUNI#
Ungembandua kabaang ungepungukiwa nini?
 
oh.............its so sad.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:embarrassed1:
 
Daaaanh ama kweli Jf is for mental health.

Unaweza kucheka watu wakakuona chizi

Guys you have made my day!!!!!!
 
Pole na majanga kaka lakini next time jaribu ku avoid kulala na mwanaume mwenzio kitanda kimoja. Mpe kitanda wee ulale kwenye kochi au vice versa. Una bahati on this occasion jamaa alitaka umpakue, unaweza ukalala na mpakuaji na kama umekula maji ya mende kwa sana by the time unaamka itakua ni too late, utaskia harufu ya kinyesi tu!



that is true! Mkuu/but nakumbuka kipindikile tunasoma nilikuwa nalala daye deka moja yeye alikua analala juu na mimi nilikua nalala chini for almost more than 3 years na tulikua tunashare vituvingi kama ndugu na hicho ndicho kilichonipa imani ya kwamba huyu ni rafikiyangu na vilevile ni nduguyangu pia so sio busara kumlaza gest but nimepata funzo#
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom