heeee! Kumbe jamaa mliberaliii!?

heeee! Kumbe jamaa mliberaliii!?

Ebu acheni unafiki. Naamini ya kumpongeza jamaa wengi wanaotoa maoni hapa kumpongeza jamaa kupiga choini huyo bwenga wake, kimoyomoyo wanasema "du hiyo bahati mbona haikunianghukia mimi!"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hilo nalo neno!
 
Mie sijui ndo ukoloni unaniathiri? Hivi mtu mzima kufikia kwa watu inakuwaje? Manake kuna wengine usiku wanapandisha maruhani utafanyaje kama haumjui? Unless ni ndugu ama rafiki wa karibu sana nadhani hata akija unapaswa umuweke hoteli.

Nijibu kiuwazi. Kuna siku rafiki yangu wa karibu sana alikuja kikazi mji nnaoishi. Akakaa hoteli akamaliza shughuli zake. Kwa sababu alikuwa anaondoka alfajiri na alifanya shopping sana kama kawaida yetu wadada nikamuambia nitamchukua aje alale kwangu ili alfajiri nimpeleke na mizigo yake stendi (taxi isingemtosha). Kabla sijamfuata akanipigia kuniambia yuko na dada mwingine ambae walizoeana hapo mkutanoni na anaona vibaya kumuacha. Nilimuambia mtu nisiemjua uzuri hawezi lala kwangu. Nilikosea?
imagesno.jpeg its what any sensible person would have done
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom