Heee! sipend anavyochat,nifanyaje aache?

Heee! sipend anavyochat,nifanyaje aache?

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Waungwana!! Mnisaidie katika hili! Nampenda sana naye ananipenda ila tatizo amepitiliza katika kuchat,yan sms 500 kwake ni masaa tu, kibaya huwa nikimtumia mimi za kwangu kwa kuchelewa anasema sms zimemwishia so atanitext 2,3 then over. NIFANYEJE ILI APUNGUZE KUCHAT MANA CIPENDI HII TABIA!!!
 
Na wewe chat kumzidi yeye ataacha
waanze mashindano ili watafute mshindi?.....amweleze tu kuwa anamkera.....asipojirekebisha atafute njia nyingine na siyo kushindana.
 
Waungwana!! Mnisaidie katika hili! Nampenda sana naye ananipenda ila tatizo amepitiliza katika kuchat,yan sms 500 kwake ni masaa tu, kibaya huwa nikimtumia mimi za kwangu kwa kuchelewa anasema sms zimemwishia so atanitext 2,3 then over. NIFANYEJE ILI APUNGUZE KUCHAT MANA CIPENDI HII TABIA!!!

sepa wewe , mimi nijuavyo mpenzi wako kama mnapendana basi sms nyingi kwa siku huwa ni kati yenu.
 
Usikute uko boring! Ama haumuweki busy. Manake kuna mijitu inalalamika wenza wao wanachat lakini unakuta yeye kila saa kanuna utasema ana mimba changa. Jitahidi uwe interesting bwana na wewe kha!
 
Stuka dem wa hivyo ana mambo mengi na yko ki digital zaidi sms 500 za nn?then wwe tatu tu,jaribu kuchunguza utagundua anao chat nao wengi wao ni wanaume na ukiuliza utaambiwa marafiki tu,mwnamke ambae yko busy kila dk na fb,what up, bbm huyo bado asearch for device may b km na wwe unasogeza sku tu
 
Mpokonye simu. Mpe siemensi dole. Akiandika sms 1 nusu saa.
 
muulize kama anaijua "walkman" ukiona anashangaa shangaa ujue utoto bado unamsumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom