NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 693
- 1,058
SMS 500 Masaa!!?? hafanyi kazii??:A S 20:
hata na sisi wanawake ni hivyohivyo pacha kunawanawake pasua kichwa balaa, ila mi wangu nampenda asilimia zote ukiwa mwepesi wa kusamehe, kusahau aukupotezea uchuro wa mapenzi katu huto chizika pacha.....!
Sijawahi kuumia katika mapenzi pacha na ninaomba kwa nguvu zote isitokee.
Umenena ukweli kabisa mwanaume sio ndugu yako anakugeukia muda wowote utafikiri hamjawahi kufanya mazuri katika maisha, hujawahi kumshauri vizuri katika maisha wala kuwafanyia mazuri ndugu zake. Yaani atakubadilikia utafikiri huna mchango katika maisha yenu / yake.Ni watu wa kuishi nao kwa akili sio wa kuwaamini asilimia mia
karibu :coffee::coffee::hand: kwelii
Kwa afya njema!hapa tunaongeza siku za kuishi
halafu kesho yake unamtext...hi?? baby? wassupp there???
yani mimi ningekua mleta mada
kibri ambayo ningemuonyesha angejuta
kunifahamu,na line ningebadili kabisa asinipate!!
Uzuri wa mapenzi ni kwamba mambo yakianza kwenda ndivyo sivyo unayaona from a far hayakatiki kama umeme wa tanesco ghafla yan..duuh message 3 kwa 500, mkuu hapo kuna raia wanamkeep busy..na huyo manzi kesha wazoea sasa sijui utafanyaje kuwapiku woote hao hata ukiweza itakua shida bado mkuu..maana kuchat hupendi..!!!Waungwana!! Mnisaidie katika hili! Nampenda sana naye ananipenda ila tatizo amepitiliza katika kuchat,yan sms 500 kwake ni masaa tu, kibaya huwa nikimtumia mimi za kwangu kwa kuchelewa anasema sms zimemwishia so atanitext 2,3 then over. NIFANYEJE ILI APUNGUZE KUCHAT MANA CIPENDI HII TABIA!!!
​akhaaaa babu nimtext ya nn tena!!halafu kesho yake unamtext...hi?? baby? wassupp there???