Huyu dogo alikuwa anajituma kweli na alikuwa hodari wa kazi yake, kahangaisha wachina weee, mara ya mwisho alikuwa ananyemelea mahekalu ya mikocheni yaliyojengwa maeneo tengefu baada ya hapo akawa kimya. Vipi yuko masomoni au kapigwa kipapai? manake hiyo mitaa mafia wengi mno.