Msipomsikiliza Lema CHADEMA mmekwisha

Msipomsikiliza Lema CHADEMA mmekwisha

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
screenshot_20261102_082800_x-jpg.3703040

Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO👇🏽👇🏽

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI👇🏽👇🏽

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.

Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
 
Attachments

  • Screenshot_20261102_082800_X.jpg
    Screenshot_20261102_082800_X.jpg
    300.7 KB · Views: 2
Leo hii lema amekuwa mzuri Kwa upande WA pili , I see Dunia simama nishuke yule mliokuwa mnamwita jambazi Leo amekuwa lulu kwenu,
mmepa shilingi ngapi jamani . Sisi huku Songea mahindi hayana soko hizo Hela za elinino mngetupatia angalau kidogo harafu lema mngempa zile za kuleeeeeeee.........just joking, Hata hivyo Lema alisha poteza imani Kwa WANACHADEMA , Kwa kizazi hiki kibishi kinacho hoji Lema atapotea suni atakuwa kama zito. hayo ni maoni yangu
 
Kama kweli lisu angetaka maridhiano na angekuwa na tamaa Leo hii angekuwa waziri anakula tu posho,

ila hili li mtu la singida sijui limeumbwaje ni laajabu sana, yaani unakataa cheo na mahela kibao,

mwachie lema basi hiyo nafasi uone atakavyoitumia vizuri. Wachaga wote watarudi Tena CHADEMA
Hata Mimi kusema ukweli nisingezikataa Pesa za mama, lema kula achana na wajinga hao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤩🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kesho itisha press conference ya kumnanga Heche, ila waambiwe waongeze mpunga kidogo, na sisi chawa wako WA JF tuambulia angalau ada za January.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
screenshot_20261102_082800_x-jpg.3703040

Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO👇🏽👇🏽

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI👇🏽👇🏽

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.

Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Siku za kisiasa kwa Lema zinaelekea mwishoni.
 
Hakika. Heche anakiharibu Chama
Kumbe ndio mana siku ya press jana machawa walikuwa kimya, wanatazama ulimi wa Lema ukiteleza kidogo tu, wamedaka na kumalizia yao kwa nia zao.
Ndio hii picha picha zinatoka ss, Lema. Angewajibu wa tuhumu wake; wanaharakati kwa twita ya sentensi mbili inatosha., sio hotuba ya nusu saa unaongelea nini.
 
screenshot_20261102_082800_x-jpg.3703040

Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO👇🏽👇🏽

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI👇🏽👇🏽

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.

Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Waliondoka wengi sana kwenda CHAUMA, tukasema hapa ndio mwisho wa CHADEMA... Wakashtakiwa na kufungiwa shughuli za chama, hapo ndio tukasema hapa hawaponi! Yote yalifeli, na hili limeshafeli tayari, kabla ya Lema kusimama kuongea akina Mange walishasema.
 
Aisee kitu nilichojifunza ni kwamba wanachama,wafuasi,mashabiki na wapenzi wq chadema wako makini,hawadanganyiki na wanafatilia kila kitu kinachohusu chama chao hatia Kwa hatia.
Mpaka hapa Lema hakuna alichoweza kuwashawishi wanachadema.
Badala yake Sasa amewapa uwanja wa kumchambua na kumpekua kila sehemu.
Ni Bora angekaa kimya.
 
Umeona nilichokiona mimi, zaidi naona amevuruga zaidi
 
screenshot_20261102_082800_x-jpg.3703040

Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani.

NABII lema amesema Chuki na Vurugu kwa sasa haziwezi kujenga na haoni tena kama hiyo njia inafanikiwa.

Lema "akaconfirm" kuwa Mwenyekiti Lissu kupitia wakili wake Wakili Kisabo alishaomba room ya maridhiano,Wakili Kisabo akashambuliwa sana na John Heche kwamba ni Uongo lakini baadae KATIBU MKUU John MNYIKA akatuma watu kwenda Magereza ili waende "wakaconfirm" kama kweli kauli za Lissu kupitia Wakili Kisabo zilikuwa ni kweli.

"Mitume" wa Mnyika kwenda kwa Ndugu Lissu "wakaconfirm" kuwa ni kweli Mwenyekiti Tundu Antipass Lissu anataka maridhiano lakini Ndugu John Wegesa Heche na Wanaharakati wake wakapinga kauli ile,wanataka wamtumie mwenyekiti Lissu kwa maslahi yao binafsi.

HITIMISHO👇🏽👇🏽

I.Mwenyekiti Tundu Lissu anataka maridhiano lakini Makamu wake Heche hataki maridhiano.Lema leo kaweka kila kitu wazi.

John Heche angekuwa MAGEREZA kwa muda wote huu,Je angekataa maridhiano?Je,Ofisi ya Mwenyekiti Lissu mmemnogea Ndugu John Heche?

Lema ameonyesha njia na baada ya November 6,2026 Wanachadema wengi watakumbuka busara hizi za Ndugu Godbless Lema.

Godbless Lema kanusa hatari lakini Ndugu John Heche yeye ameamua kunusa Uwenyekiti wa Bosa wake Lissu kwa gharama ya Mwenyekiti Lissu kuendelea kukaa jela.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Heche anatumia matatizo ya Ndugu Tundu Lissu kutaka kufanya MAPINDUZI dhidi ya Lissu kwa mgongo wa kupigania haki.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Godbless Lema is AGAINST style ya sasa ya Chama ya kufanya siasa za KIGAIDI👇🏽👇🏽

Political Terrorism ambayo ndio falsafa ya Ndugu John Heche na kwa bahati nzuri hata Mwenyekiti Ndugu Tundu lissu kaamua Political Terrorism BASI.

JOHN HECHE HATAKI.

Nini kitatokea baada ya SHULE hii ambayo Ndugu Godbless lema kaitoa leo mbele ya Umma wa Wanaharakati,Wanachadema na Watanzania?

Tusubili tuone.
Maridhiano ya nini ikiwa mahakama zetu ni huru?.
 
Huyu jamaa ndio kajikatia one way ticket,kaamua kujimaliza kabisa kisiasa!Ila nahisi safari yake hii amelamba mpunga wa kutosha!
RIP Lema!
 
Back
Top Bottom