comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,510
- 17,458
Ulionyooka kwa sasa kg 1 ni 3500, hapo mbili njaa Kali sana kitaaElfu 7 ata Michele kilo 5 haifiki.
Sasa hivi JF imekuwa ya kipuuzi sana members wengi ni wanywa visungura na wengine ni wale wanaotajwa na dudu baya Kila sikuMbona tunalishusha hadhi hili jukwaa la JF...tubadilike
Basi na we nikupe suri!Mzee wa Gombe ndiye msaliti hapo kwenu,😁Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Angekuwa msaliti angekipeleka chama kwenye uchaguziHabari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Hamuwezi kumshusha Heche kwa propaganda zenu za kipuuzi
Maskini ya mungu weee!..pono wee!Hamuwezi kumshusha Heche kwa propaganda zenu za kipuuzi
Ugonjwa wa akili unakusumbuaHabari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Acha ungese Brenda katuma rambirambi kwa niaba ya Heche na chama.Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Kwamba Lissu unafikiri anaongea serious hizo ni kejeli ndio maana hata heche analijua Hilo hivyo hakuna kuungana na wafiraji pumbavu zenuHabari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Kwamba Heche kukataa wafiraji na watekaji ndio msaliti, kweli buku saba zinaliwa kijingaUko sahihi ,Heche ni msaliti