Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Count down to 2015,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CDM,kwa hiyo we unashabikia padri wako kuchukua wake za kondoo wake?kwani uliambiwa jamaa alimtelekeza?na vipi kuhusu dr kuitelekeza familia yake?au yupo sawa?:majani7:
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Defend? CCM existence does depend on a stupid post on any stupid forum, it was put in power through people's voice and with people's will it shall go down...[/QUOTE existence of ccm has been facilitated by other state organs support. It cannot stand alone! Thats why it survives by using cheap propaganda! this forum wont be stupid , but there are stupid people in the forum who can stand and defend impossibles! its very unfortunate to have such kind of cheap people!
Wanaotumia makanisa ni hao mafisi wenu wanaotafuta kujisafisha kwa hali na mali ili tu watimize matakwa yao ya kuwa viongozi wakuu wa nchi hii. Subiri utaona matokeo yake 2015 watakavyoumbuka. Mungu huwa hachezewi.Na matumizi ya nyumba za Mungu, babu kaishiwa kuwa chizi tu, nadhani laana ya kutumia kanisa la Mungu kwa manufaa ya Mtei na Mtoto wake na mkwewe.