mhindijohn
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 469
- 72
Mpuuzi yeye mwenyewe kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ilibidi vijana wangapi wanyimwe haki ya kushiriki uchaguzi? kifupi kwenye kupeana madaraka yeye ni mnufaika wa kwanza hapa Tanzania, ndio maana kazi yake ni kuimba Slaa, Mbowe kila kukicha.
- Duh! nashangaa kwamba ulikuw aunauliza elimu ya watu na hii ndio elimu yako? ha! ha1 ha! ha! halafu unategemea niendelee kubishana na wewe? ha! ha! ha!
Es!
jibu hoja acha matusi ama onesha namna gani nape ni sawa na DR slaa hii si sehemu ya matusi na vijembe vya khanga ama umeachika majuzi nini hukumbuki kuwa HECHE alikuwa diwani wa KATA YA TARIME MJINI NA kumshinda boss wenu wa kanda ya ziwa ZAKARIA? na pia uenyekiti aligombea hakuteuliwa kama NAPE muiteni nape ampe za macho si ametangaza vita ya manenoMpuuzi yeye mwenyewe kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ilibidi vijana wangapi wanyimwe haki ya kushiriki uchaguzi? kifupi kwenye kupeana madaraka yeye ni mnufaika wa kwanza hapa Tanzania, ndio maana kazi yake ni kuimba Slaa, Mbowe kila kukicha.
wewe tangu uingize rushwa Bavicha so hapa umeona ndipo panakufaa hutakaa ukawa mwkt wa vijana chadema subiri chauma ndio chama cha kudiscoBen na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.
Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.
Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

Wadhifa alonao Nape CCM, Slaa hajawahi hata kuota na uanachama wake hai mpaka leo.
Magwanda mmeingizwa mkenge, kumbe Padri bado ni mwanachama hai wa CCM. Poleni sana.
kweli!na jamaa anavyoongea kwa jazba hata kujadiliana naye kazi kwelikweli!hakuna saizi ya slaa CCM ni kwa mujibu wa hoja sio vitambi