Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
 
sidhani kama umetumia uwezo wako wote waakili katika kulifikiria uliloandika au hata kufanya research ya suala zima la taratibu za ukimbizi.

Kuna wakati tuwe tunachimba kidogo kupata details sio kwasababu ya kuja kuandika JF ila hata kwa manufaa binafsi na familia zetu maana kuna siku pia nasi kuna vitu tutavihitaji.

ndani ya mitaa ya Khost - Afghanistan
 
Uzi tayari.
 
hili lipo wazi mbona hasa Heche , Mnyika ni mtoto wa mjini anaelewa ila huyu bush loya subiri tuu
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Mkuu jaribu kuwa mtu smart kidogo; unawafahamu walipo au wanaposoma watoto wa Mnyika au Heche? Upende sana kuongelea Familia ya watu siyo afya sana kwako.
Mbaya zaidi hujui faida ya msimamo wa Lissu kuhusiana na reforms kwenye taasisi zetu?
 
mtoto wa mwigulu nchemba anasoma fedha school ada ni ml 35 kwa mwaka . na hii nayo tunaitaje
 
sidhani kama umetumia uwezo wako wote waakili katika kulifikiria uliloandika au hata kufanya research ya suala zima la taratibu za ukimbizi.

Kuna wakati tuwe tunachimba kidogo kupata details sio kwasababu ya kuja kuandika JF ila hata kwa manufaa binafsi na familia zetu maana kuna siku pia nasi kuna vitu tutavihitaji.

ndani ya mitaa ya Khost - Afghanistan
Waangalie usoni Heche na Mnyika utagundua kuwa wameshachoka
 
Kama haya ni maneno ya Heche au Mnyika wenyewe nakubali kuwa Sina akili kweli
shida uliyonayo kichwani ni kubwa sana. unafikiri adui wa watanzania ni heche. adui unae wewe hapo lumumba wale ndiyo maadui wa nchi hii. Mwigulu nchema alikuja UDSM na ndala leo ana mabasi lukuki pesa kapata wapi?
Makonda KAJA NA ndala kutoka kwao na hata kulipiwa ada na kina sita na makamba LEO ana MADEPO/HIFADHI ZA MAFUTA HUKO KIGAMBONI pesa kapata wapi?
 
CCM inamuogooa Lissu vibaya sana- wanajua uchaguzi huru na HAKI Lissu hata asipofanya kampeni atamchapa mama yao asubuhi mapema.

Chama chenye umri wa miaka 60+ still kinaogopa uchaguzi huru na haki hii ni aibu kubwa sana.
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Mavi
 
Waangalie usoni Heche na Mnyika utagundua kuwa wameshachoka
Binadamu bwana; unadhani wamechoka ukiwalinganisha na akina nani? Wewe mwananchi au mtumishi wa Serikali anaepokea sh 400000 kwa mwezi?
Heche na Mnyika ni matajiri sana hawalali njaa; Rais Samia na top official wanazo mawasiliano yao, ndugu zao wakitaka wanawaombea kazi serikali na wanapata ki urahisi.
Wanakusikitikia wewe unayekumbatia waendeshaji wa mifumo ya kinyonyaji.
 
Back
Top Bottom