Lakini kwa bahati mbaya sana, neno hilo linatatanisha, maana inaonekana hata baadhi ya wachezaji wa timu yake nao wanakaba; tena kwa nguvu zaidi hata kuliko wa timu pinzani!Wadau, jana Chuma Heche ametoa neno linalohitaji fikra tunduizi kwa kusema 'mwenye mpira ndio anayekabwa na akaenda mbali kwa kusema mpira uko chini ya udhibiti wake ndio maana wakabaji wa mpira lazima wamfate yeye' je, kauli hii nyinyi mmeielewaje? Naomba majibu (my insistence is that response should be given by those with sobriety).
Hata Messi hawezi kucheza mpira akafunga magoli kwenye timu ya namna hiyo.