Serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi utaijua tu kwani badala ya kupigania maendeleo ya wananchi wake maskini yenyewe iko busy kutengeneza machawa kama hawa ambao hawataki kufanya kazi.Yes gentleman,
heche ndie fisadi mkuu wa pesa za chadema,
na kwahivyo ndie pekee anaestahili kuzungumzwa sana, kunyooshewa kidole sana na kila anachukia ufisadi ndani ya chadema, na kumshinikizwa aachie nganzi kupisha uchaguzi huru wa kichama dhidi ya ufisadi wake dhidi ya pesa na rasilimali za chama 🐒
Kutwa nzima ni kushinda kwenye mitandao kuandika ujinga ili wapewe vihela vya kujikimu na mafisadi wa ccm.
Heche hafanyi kazi serikalini huo ufisadi ameufanyia wapi. Ripoti ya CAG kila mwaka ni uwizi mtupu lkn hakuna anayeguswa hayo hamuoni halafu unakuja kuandika upumbavu humu kisa Heche amekataa kununuliwa ili kukisaliti chama chake. Bure kabisa machawa wa Samia.