Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa alienda kuchukua fomu akanyimwa.
Ni hivi CCM mtavuna mlichopanda. Ndani ya Chadema Lissu akifanya ujinga wanachama watampiga spana. Ila ma CCM yanaonewa kweli kweli afu yanaugulia maumivu Kwa ndani maana hayawezi kusema.
Ni kilio na kusaga meno kwa Wana CCM ambao mfumo hauwaitaji