Heche kujipanga kuwa Mbunge Tarime 2015

Heche kujipanga kuwa Mbunge Tarime 2015

LEO MWITA

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
25
Reaction score
1
Nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.

Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.

Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.

Vile vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
 
Kichwa cha habari kinaleta mkanganyiko kwa sisi ambao ni wazawa wa huko tukidhan labda kuna wizi mkubwa wa Ng'ombe umetokea,Majambazi yamevamia vijiji au kuna maandamano kwenda kwenye mgodi ambayo yameanza alfajiri hii!!!!!!! Hao wasaka uongozi kwa nguvu acha wavurugane tu,sie wakati ukifika tutawahukumu kwa maneno na vitendo vyao rejea 2010.
 
Watu wa trm tumechoka na makundi yenu mwacheni Heche aimarishe chama.Nzemo pia ni mchapa kazi acha kelele zako.
 
Upo sahihi,bila kuandika haya watoto hawendi choo BUKU7 NOMA.
 
Majanga shule za kata kazini,kichwa cha habar na habar havina uhusiano.lakin asante kwa taarifa japo japo haina miguu
 
Tarime wanataka Mbunge mkazi wa Kudumu yaani mbunge wa Tarime Dodoma au karmjee Tarime hawataki Mbunge Mkazi wa Dsm ambae ataenda kupora Ubunge kisha kurejea Dsm kuishi huku akienda Tarime kwa kubeep Kama Nyambari Nyangwire Pia hawataki Mbunge asiye na hoja za Msingi wanataka mbunge machachari mwenye kujenga hoja na kuzitetea vyema asiyependa kuishi Dsm anayependa kuishi jimboni anayependa Serikari ihamie Dodoma haraka ili kulinusuru jiji na majanga ya msongamano wa Magari na foleni zinazozidi kuongezeka kwa kasi kila kukicha .Hivi ndivyo wanavitaka hizo porojo za vurugu Fake hazina mashiko kajifunze namna ya kuandika Kichwa cha Habari chenye kuendana na story
 
wewe umekurupushwa? vurugu ziko wapi hapo?

Nilikuwa nadhani tarime wameanza tena kukatana mapanga! Kumbe mambo ya kujipanga kisiasa. Kwa mwendo huu Tarime itabaki CCM kama hawa jamaa wataendelea kuparurana. Ukizingatia na zile koo za Wanyabasi, wanyamongo, wakira, watimbaru, wangoreme, walenchoka, Wasweta basi atakayetoka ukoo mkubwa ndiye atakuwa na kisu kikali
 
Hizi dhani za ukoo mkubwa kuchukua uongozi zimepitwa na wakati ubaguzi wa koo ni janga kubwa sana watu wa Tarime badilikeni toka analogia kwenda Digtal yaani kiongozi safi atokane na sifa nzuri tu pasipo kuangalia ukoo wake
 
Umekurupuka tu na ushabiki na uchochezi wako usio na maana! Huzijui propaganda kwa hiyo waachie wanaoweza!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nilikuwa nadhani tarime wameanza tena kukatana mapanga! Kumbe mambo ya kujipanga kisiasa. Kwa mwendo huu Tarime itabaki CCM kama hawa jamaa wataendelea kuparurana. Ukizingatia na zile koo za Wanyabasi, wanyamongo, wakira, watimbaru, wangoreme, walenchoka, Wasweta basi atakayetoka ukoo mkubwa ndiye atakuwa na kisu kikali

Fafanua vizuri wana JF wakuelewe yaani weka namba 1,2,3,4 na kuendelea onyesha ni Koo zipi kubwa 1-3 kisha 4-6 Pia ni koo zipi zina ushawishi wa kisiasa mzuri ni koo zipi zina vurugu na ni koo zipi zinapenda Amani na ni koo zipi zina msimamo na ni koo zipi zina wasomi wengi Mfano kule Bukoba koo za wasomi zinajulikana koo za wakulima zinajulikana Sanjari na shinyanga Pia koo za wakulima na wafugaji zinajulikana na koo za wanasiasa Pia zinajulikana Fafanua Vizuri angalau wana Jf wajue kiini cha migogoro ya misimu ktk koo mbali mbali hapo Tarime fafanua vizuri Maana inaelekea unaishi hapo hapo unajua historia yote ya jimbo
 
392]nipo mus[/B] omana nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya musoma.heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya ganyange.lakini kwa taarifa za ndani ya chama heche na waitara wamezuiliwa kufanya siasa tarime n akuwa viongozi wa kanda ya ziwa.vikao hivyo vya heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa heche pale mwanza na wana tumia gari la chamam la kanda.je waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na nzemo kumwandalia mikutano?kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la tarime ccm waliwatumia heche na mwera ili washinde na heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi heche anasema mkt mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
yoyote dhidi y hoja hii.

Ni vurugu tupu katika uandishi wako, angalia hiyo nilizokuwekea rangi na italiki. Rudi Shule mkuu.
 
Apigwe tu huyu tumechoka, Kasababisha nimepandwa na bp bure kwa kichwa cha habari kisichofanana na habari yenyewe!!!
 
nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.

Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.

Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.

kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.

Naweza kuungana nawe kwa kiasi fulani. Nimeshawahi kupata bahati ya kuongea na baadhi ya wakazi wa tarime. Si Heche wala Waitara wanaokubalika. Ikumbukwe Waitara aliaibisha mno CDM katika uchaguzi uliopita. Zipo tetesi kuwa alikuwa akilewa hadi kupitiliza...................

Ikumbukwe Wakurya na jamii ya watu wa tarime wana misimamo sana. Wakaamua kwa kauli moja, kuliko mmbunge mlevi, bora ccm ichukue.

Harakati za Heche sidhani kama zitafanikiwa, bado sijapata sababu ni kwa nini hakubaliki, lakini CDM ijipange na kupanua wigo wa kupata wagombea.
 
Nilikuwa nadhani tarime wameanza tena kukatana mapanga! Kumbe mambo ya kujipanga kisiasa. Kwa mwendo huu Tarime itabaki CCM kama hawa jamaa wataendelea kuparurana. Ukizingatia na zile koo za Wanyabasi, wanyamongo, wakira, watimbaru, wangoreme, walenchoka, Wasweta basi atakayetoka ukoo mkubwa ndiye atakuwa na kisu kikali

mkuu nimeiependa signature yako
 
Mkuu wangoreme hawako Tarime,wako Serengeti.Ila kama ulivyosema kama kweli huo msuguano upo jimbo litabaki CCM.
 
nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.

Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.

Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.

kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.

Habari za vijiweni hazijadiliki
 
Back
Top Bottom