hafai hata kwenye jukwaa la jokesUmekurupuka tu na ushabiki na uchochezi wako usio na maana! Huzijui propaganda kwa hiyo waachie wanaoweza!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.
nipo musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama heche na waitara wamezuiliwa kufanya siasa tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg nzemo ambaye ni class mate wa heche pale mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na nzemo kumwandalia mikutano? Kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la tarime ccm waliwatumia heche na mwera ili washinde na heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi heche anasema mkt mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
Kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.
nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.
Ni kweli wangereme wapo Serengeti ila pia wachache wapo jimbo la Tarime.Mkuu wangoreme hawako Tarime,wako Serengeti.Ila kama ulivyosema kama kweli huo msuguano upo jimbo litabaki CCM.
mbunge wa tarime ni yule kijana wa chacha wangwe
nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.
wewe utakuwa muhusika wa unga ulikamatwa italia, kwa akili hii.
dalili za tumbo la kuhara huanza taratibu kama hivi..........!!!!!!:lock1:😛eep:nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.vili vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
kama ni uongo hebu ona kama kuna hatua yoyote dhidi ya hoja hii.
Ni kweli wangereme wapo Serengeti ila pia wachache wapo jimbo la Tarime.
Mkuu ni kweli. kuna jamaa yetu mmoja humu anaitwa Mwita Maranya aliwahi kudokeza kwamba anajipanga kwenda kwa wangoreme kule Rung'abure kutwaa Ubunge kwa tiketi ya CDM. Sijajua amefikia wapi kwenye mchakato wake.Kwa nature ya Tarime,hawana impact kwenye uchaguzi kwa jimbo la Tarime.Zingatia hapo kweye red.
Mkuu hapo umenena,kule Tarime watimbaru na wanyamongo wana nguvu sana.Hapo kwenye red hao bado ni wakurya kama sikosei ni wakira.Mkuu ni kweli. kuna jamaa yetu mmoja humu anaitwa Mwita Maranya aliwahi kudokeza kwamba anajipanga kwenda kwa wangoreme kule Rung'abure kutwaa Ubunge kwa tiketi ya CDM. Sijajua amefikia wapi kwenye mchakato wake.
Kule Tarime koo za watimbaru na wanyamongo zina nguvu.
Nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.
Vile vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
mimi napendekeza kuepusha huu mgogoro uliopo tarime kati ya henche na weitara kwa upande wa tarime yupo kijana msomi tarime pale na ni mwanaharakati mzuri sana na anaye penda kujali watu na ni mkazi wa tarime ambaye ni ndugu yake na diwani chomete anayeshikilia kata ya sabasaba na mpendekeza huyu msomi mwenye degree 2 aweze kujitokeza muda huu na kutangaza nia ili aweze kuokoa jahazi tarime jimbo lisije likanenda ccm tena kwa ugomvi wa hawa mabwana wawili mweitara na henche
Bwana mseti chomete ni mkazi wa tarime ambaye amesomea tarime na elimu yake ya juu kaipatia chuo kikuu cha dsm na kumalizia nchini uingereza na amerudi yuko tarime anafanya shughuli zake tarime ingawa ni mwanasiasa asiyependa kujionyesha ila ni mtu ambaye akitokea amekuwa mbunge hakika tarime itasonga mbele kwa sababu ni mtu mwenye msimamo mkali sana na mwenye maamzi.
Nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.
Heche alikuwepo kwa majigambo akaanza kusema wajumbe wafanye kikao haraka ili awahi mkutano wa hadhara Tarime ili kujipanga kuwa mbunge 2015.kwa kiburi akataja ratiba yake ya huko Tarime kwamba juzi alikuwa kata ya mbogi,jana kata ya Nyarokoba,leo jumapili atakuwa kata ya Nyarokoba,na juma tatu atakuwa kata ya Ganyange. Lakini kwa taarifa za ndani ya chama Heche na Waitara wamezuiliwa kufanya siasa Tarime na kuwa viongozi wa kanda ya ziwa.
Vikao hivyo vya Heche vimeandaliwa na mratibu wa kanda wa muda ndg Nzemo ambaye ni class mate wa Heche pale Mwanza na wana tumia gari la chama la kanda. Je Waitara au mtu yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge anaweza kupewa gari hilo na Nzemo kumwandalia mikutano? kuna taarifa za ndani kwamba jimbo la Tarime CCM waliwatumia Heche na Mwera ili washinde na Heche hajawahi kukana hizo taarifa na kuna mvutano mkubwa sana wa makundi ya tangu 2010.
Vile vile kuna tetezi za viongozi wakuu wa chama kumbeba Heche na ndio maana hata haya yanafanyika na kwa ushahidi Heche anasema mkt Mbowe yuko nyuma yake na hakuna wa kumgusa.
Nasikia harufu ya bangi... Haroo we rijamaa ...mwita unarivuta rire risigara rikubwa?Nipo Musoma na nilibahatisha kuhudhuria uchaguzi wa naibu meya wa manispaa ya Musoma.