Naweza kuungana nawe kwa kiasi fulani. Nimeshawahi kupata bahati ya kuongea na baadhi ya wakazi wa tarime. Si Heche wala Waitara wanaokubalika. Ikumbukwe Waitara aliaibisha mno CDM katika uchaguzi uliopita. Zipo tetesi kuwa alikuwa akilewa hadi kupitiliza...................
Ikumbukwe Wakurya na jamii ya watu wa tarime wana misimamo sana. Wakaamua kwa kauli moja, kuliko mmbunge mlevi, bora ccm ichukue.
Harakati za Heche sidhani kama zitafanikiwa, bado sijapata sababu ni kwa nini hakubaliki, lakini CDM ijipange na kupanua wigo wa kupata wagombea.
Heche hana lake tarime asijidanganye kuwa atapata ubunge,wanatarime hawadanganyiki kiivyo,kwanza ni kweli usiopingika ya kwamba kura za sasa zitapigwa kiukoo na kama tarime itagawanyka kuwa majimbo mawili basi kwa vyovyote heche namshauri atafte ubunge serengeti wenda akapewa,na kama jimbo ni moja hakuna muujiza hapo hata mbowe ahamie tarime ubunge wa heche ni ndoto na wanaoamini kuwa atapata ubunge tarime ni sawa na kuamini makao makuu ya nchi yatajengwa msoma.
Huyo dogo anatuhuma kibao kwanza anatuhuma ya kula pesa tsh.14ml za ujenzi wa shule ya nyamisangura sec,pili ni mbinafsi sana kwa maana ya familya yao,tatu majigambo ya kuwa wanapesa sasa hakuna kitakachowashinda,nne kundi kubwa la vijana na wafanyabiashara wa tarime mjini hawamtaki hata bule kwani wanaamini yeye na ndugu yake walisaidia ccm kushinda 2010 ili waitara asiwe mbunge wakitamba kuwa wao ndio wanastaili kuwa viongoz na sio mwingine,tano kuna mgawanyko mkubwa sana ndani ya chama chao hadi sasa kundi kubwa linataka Heche na Waitara wasijihusishe na siasa za tarme ili kunusuru chama 2015,na la mwisho huyo dogo kwa kabiira lake hata sirali ni kwao lakini hata udiwani hawewez kupewa japo ni kwao na kama atabisha aende 2015 agombee ubunge na udiwani aone majibu,ni mwongo wa kutupwa,mnafki,mpika majungu na ndugu yake pia natafuta alichowafanyia wanatarime ni nini?hadi wampatie ubunge amekuwa mwenykti wa bavicha hadi leo mkoa wa mara tu hakuna baraza la vijana mkoa,achiria mwanza anakoishi sasa, na tarime mdogo wake naye sjui ndio mdogo ama mkubwa amekuwa mwenykti wa vijana wilaya hadi leo kamwulize baraza la vijana liko wapi?hajui anachoimba ni Johni weto nalabhe mbunge,taighwa enkoba mona eghoteka, bila yeye hakuna mwingine kwa mpango huo anapataje ubunge?tarime wanataka mtu mpole na mnyenyekevu kwa raia na asiwe mtu wa kujivunia mali zake ama zao awe ni mtu anatajwa na watu kuwa anafaa kuwa kiongozi na sio yeye ama ukoo wake waanze kulazimisha raia kuwa choni weito,choni weito hata mi spendi natamka wazi huyo dogo ataamburia kushiriki tu kama 2008 na 2010.