PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.

Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.

"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
kwani wewe nani gentleman,
wewe si miongoni mwa matapeli waropokaji tu wa kisiasa mtaani?🐒
 
huyu heche tangu lissu ahamishiwe ukonga ameweka kambi ukonga anakusanya magenge ya vijana isijekuwa anasoma jiografia ya ukonga amtoroshe lissu, vyombo vya usalama hebu kuweni chonjo na huyu mtu, mnakumbuka movie ya escaoe from sobibo?

Ona hayawani jingine hili hapa!!
 
Back
Top Bottom