Dunia, ukiondoa TrumpNani wa kuombwa radhi?
Na vipi hamas ambayo kila uchwao inarusha makombora israel plus hezbullah na houthJana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.
Mashallah kwa bahati hakusema kwamba yametoka kwa waarabu , kasema kwa wazungu. Angalikuwa Lema ashawataja waarabu, lkn Heche kawataja wazungu
Alichokosea aliposema licha ya mateso hayo hivi sasa wamejikomboa.
Hapa ndio penye utata.
Isreal hii inayoua watoto? Inaolipua kila sehemu? Inayowaendesha wamerakani na Trump kama mtoto mdogo ndio ya kupigiwa mfano?
Heche kwa mfano huu , hapa umeteleza, uombe msamaha
Jana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.
Mashallah kwa bahati hakusema kwamba yametoka kwa waarabu , kasema kwa wazungu. Angalikuwa Lema ashawataja waarabu, lkn Heche kawataja wazungu
Alichokosea aliposema licha ya mateso hayo hivi sasa wamejikomboa.
Hapa ndio penye utata.
Isreal hii inayoua watoto? Inaolipua kila sehemu? Inayowaendesha wamerakani na Trump kama mtoto mdogo ndio ya kupigiwa mfano?
Heche kwa mfano huu , hapa umeteleza, uombe msamaha
Acha udini.Jana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.
Mashallah kwa bahati hakusema kwamba yametoka kwa waarabu , kasema kwa wazungu. Angalikuwa Lema ashawataja waarabu, lkn Heche kawataja wazungu
Alichokosea aliposema licha ya mateso hayo hivi sasa wamejikomboa.
Hapa ndio penye utata.
Isreal hii inayoua watoto? Inaolipua kila sehemu? Inayowaendesha wamerakani na Trump kama mtoto mdogo ndio ya kupigiwa mfano?
Heche kwa mfano huu , hapa umeteleza, uombe msamaha
Ccm hawajawèza ķuomba msamaha watanganyika,hHeche labda aombe mɓu msamaĥa!Jana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.
Mashallah kwa bahati hakusema kwamba yametoka kwa waarabu , kasema kwa wazungu. Angalikuwa Lema ashawataja waarabu, lkn Heche kawataja wazungu
Alichokosea aliposema licha ya mateso hayo hivi sasa wamejikomboa.
Hapa ndio penye utata.
Isreal hii inayoua watoto? Inaolipua kila sehemu? Inayowaendesha wamerakani na Trump kama mtoto mdogo ndio ya kupigiwa mfano?
Heche kwa mfano huu , hapa umeteleza, uombe msamaha
Wajerumani wa Hitler walikuwa Waarabu?Jana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.