πππHakuna kipindi bila Chadema, kipindi kifutwe
Hadi kesi itakapoamuliwa ama ni kwa siku 14 tu?Serikali.
CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.
View attachment 3377713
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa mmoja wa wanandaaji wa kipindi hicho aliyeomba kuhifadhiwa jina lake, amesema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.
Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.
CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.
Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.
NAFIKIRI MUNGU YK KAZININamuomba Mungu Samia afe kabla ya uchaguzi
Lakini bila shaka unajuwa.Namuomba Mungu Samia afe kabla ya uchaguzi
Duh! πππPengine labda uombe Kikwete na Samia wote waondoke kwa mpigo, na Genge kusambaratika.
View attachment 3377709
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.
Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.
CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.
Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.
View attachment 3377804