TBC yenyewe haina mvuto Bila chadema sasa itakuwa hako kakipindi,???Sasa kipindi bila chadema kuna mvuto kweli hapo? Washafeli tena labda waisogeze mbele tarehe ya show.
TBC yenyewe haina mvuto Bila chadema sasa itakuwa hako kakipindi,???Sasa kipindi bila chadema kuna mvuto kweli hapo? Washafeli tena labda waisogeze mbele tarehe ya show.
Nchi ina watawala waoga sana.View attachment 3377709
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.
Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.
CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.
Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.
View attachment 3377804
Kwanini waandaaji hawajui kuwa kuna zuio la mahakama? Hii inchi kuwa watu wanapenda kuzua taharuki bila sababu.View attachment 3377709
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.
Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.
CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.
Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.
View attachment 3377804
Anaweza Kuja kiongozi ambae achanga akili sio kama huyuLakini bila shaka unajuwa.
Hili siyo la Samia peke yake, hili ni la GENGE zima linalo simamia ajenda ya kuiteka CCM, na Tanzania kwa ujumla.
Samia akifa leo, Genge hilo chini ya Kikwete litampata mwingine kwenye Genge lao kuendeleza haya tunayoyaona leo.
Pengine labda uombe Kikwete na Samia wote waondoke kwa mpigo, na Genge kusambaratika.
Kwa maana hiyo Heche haruhusiwi kuongea hata mambo yake binafsi?Kwanini waandaaji hawajui kuwa kuna zuio la mahakama? Hii inchi kuwa watu wanapenda kuzua taharuki bila sababu.
Mkuu, naona hunielewi.Anaweza Kuja kiongozi ambae achanga akili sio kama huyu
Wakati huu kuna mambo ya ajabu sana.Kama ni kweli hio sababu inayotolewa sisi ngumbaru wa sheria tunabaki kushangaa.
Hili jambo la mahakamakukazia hukumu yenyewe limeanza lini? Au siku hizi mahakama.nayo inafungua malalamiko na kujitolea hukumu?
Vinginevyo ni nani huyo aliyekwwnda mahakamani kudai hili? Na ilikuwa lini? Lilisikilizwa na nani? Pande zote zilikuwepo?
Kwamba huyu Heche, hana maisha binafsi nje ya uongozi wa sasa wa chama chake?Wakati huu kuna mambo ya ajabu sana.
Kwa hiyo John Heche amegeuka na kuwa "mali ya CHADEMA", inayo daiwa na wafungua mashtaka!
Hadi itakapiamuliwaHadi kesi itakapoamuliwa ama ni kwa siku 14 tu?
Lengo kuvutia watazamaji watakao click wapate viewers wengiKwanini waandaaji hawajui kuwa kuna zuio la mahakama? Hii inchi kuwa watu wanapenda kuzua taharuki bila sababu.
Linalo sikitisha ni kwa hawa wapumbavu kudhani kwamba waTanzania hawana akili!Kwamba huyu Heche, hana maisha binafsi nje ya uongozi wa sasa wa chama chake?
Kwa hiyo chombo cha habari kikimnukuu Heche kama aliyewahi kuwa... pia ni kosa?
Na je kama mtu anayetoka eneo lenye madini, pia haruhusiwi kutoa maoni yake?
Ama kwa hakika amekuwa mali ya chama!
Duuh! Ikiamualiwa baada ya miaka 2 au zaidi?Hadi itakapiamuliwa
Poa tu mahakama haipangiwi ni mihimili unaojitegemeaDuuh! Ikiamualiwa baada ya miaka 2 au zaidi?
Kwa maneno ya Mwalimu Chachage aliitaja hali hii kama watanzania wamegeuzwa na kuweka katika hali ya " collective imbecile"Linalo sikitisha ni kwa hawa wapumbavu kudhani kwamba waTanzania hawana akili!
Unajua rasilimali watu za chama? Unafikiri rasilimali ni majengo,magari na akaunti za benki tu? Mjinga weweWakati huu kuna mambo ya ajabu sana.
Kwa hiyo John Heche amegeuka na kuwa "mali ya CHADEMA", inayo daiwa na wafungua mashtaka!
Sasa mtu duni kama wewe, unataka unilazimishe kweli niwe na mjadala na wewe? Tutaanzia wapi wakati inajulikana kinachokupa msukumo hapa siyo maslahi ya taifa hili?Unajua rasilimali watu za chama? Unafikiri rasilimali ni majengo,magari na akaunti za benki tu? Mjinga wewe
Rasilimali ni pamoja na rasilimali watu Heche akiwemo .Ni rasilimali watu ya CHADEMA