Patrobas ni mtu sahihi kwa BAVICHA kwa sasa, tuache majungu, tumpe mda, ni mtu wa harakati, mipango na mfia chama. Kama humjui fuatilia/tress back historia yake;
1.Wakati akiwa waziri wa katiba na sheria SAUT Mwanza na waziri wa sheria TAHILISO akipigania haki ya wanavyuo kupiga kura kwa kuibana serikali ifuate ratiba ya TCU kwa kuruhusu vyuo vifunguliwe ili wakapige kura.
2.Akiwa mwenyekiti wa CHASO CDM SAUT harakati alizofanya kukijenga chama na kuhakikisha serikali ya wanafunzi inakuwa chini ya CDM na alifanikiwa. Muulizeni aliyekuwa Rais wa SAUT/SAUTSO 2012/2013 BWN Godlisten Malisa na rais WA 2013/2014 Bwn Dova
3. Amekuwa akitumia taaluma yake ya sheria kukitetea chama hasa kwenye kesi za kisiasa, NK
4. Ameshiriki kuhakikisha mkoa wa Mwanza unakuwa chini ya CDM wakati akiwa chuoni, 2010 alihakikisha mawakala wa kusimamia kura ktk vituo wanatoka SAUT ikasaidi kupata ushindi ktk kata nyingi na majimbo ya Ilemela na Nyamagana, waulizeni kina Wenje na Highness. Yapo mengi na atafanya makubwa ndani ya BAVICHA. Kama kuna swali au wasiwasi wowote mnaweza kuuliza.