Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
"Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu, kwa hiyo kuna vifungu kadhaa kadhaa tunaweza kuvifanyia marekebisho, lakini major reforms za kubadilisha katiba nzima tukakubaliana tutaenda mbele.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche ameyasema hayo leo Agosti 19, 2025 katika mahojiano maalum kupitia kipindi cha Morning Trumpet cha UTV
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche ameyasema hayo leo Agosti 19, 2025 katika mahojiano maalum kupitia kipindi cha Morning Trumpet cha UTV