Hebu wana Jf tuache unafiki!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Kauawa Kamanda baro hamjajadili wala kulaani! Kachinjwa Pc Saidi Z,bar hamkujadili wala nini ila akifa mtu mwingine ni mi thread kibaaaao! hivi hao walonyang'anywa uhai wao je?!
 
Huku sisi tuna jadili wapendanao tu! Hutupendi harufu ya damu huu mtaa! Tafadhali naomba ulete cv zako ukaguliwe!
 
Mbona unawatolea povu jf kama ndio wauaji?
 
Huku sisi tuna jadili
wapendanao tu! Hutupendi harufu ya damu huu mtaa! Tafadhali naomba
ulete cv zako ukaguliwe!

Mkuu umesema CD au CV? Vipi kuwapeleka The Hegi kule Uholanzi walomchinja Pc Saidi? haihusu eee!
 
Si ndo hapo shost?
Yaani watu wengine wamekalia ulalamishi tu!

Mh! haya bana ngoja nijiondokee jukwaani maana ishakuwa tabu! mara choo
cha kike mara mgeni! wakati Kaptain Komba aliimba mgeni ni ngoma!
asanteni kwa kunizodoa! mna maneno kama wazaramu!lo yani wazaramu
walimkamata mwizi,hawakumgusa wala nini walimweka chini wakamsema weeee!
hadi akafa! kwa herini!
 
umepotea njia moja kwa moja,
huku ni kijiji kingine hayo mambo hayaingizwi humu kabisa,
jaribu hapo juu mtaa wa saba utakutana nao.
Kauawa Kamanda baro hamjajadili wala kulaani! Kachinjwa Pc Saidi Z,bar hamkujadili wala nini ila akifa mtu mwingine ni mi thread kibaaaao! hivi hao walonyang'anywa uhai wao je?!
 

Hahahaaaa...siku nyingine uwe na adabu!
 

Tena wasalimie huko uendako.
Waambie kule Ngozi Imewambiwa Ngoma..!!!
Na Mbuzi Kala Mkeka,basi ni Heka heka.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…