Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Its a milion dollar question..labda wauaji ni polisi? Labda aliamini baada ya few days ata solve tatizo...labda mke hakuwa na Upeo wa masuala haya..labda labda
Muoe wanawake wasomi.....wanaupeo
yaani rafiki, nilijiuliza saana, mpaka sasa naendelea kujiuliza.Its a milion dollar question..labda wauaji ni polisi? Labda aliamini baada ya few days ata solve tatizo...labda mke hakuwa na Upeo wa masuala haya..labda labda
kama hao wauwaji ambao ni serious wanakufwatilia hawatajua kuwa leo hujalala home?Labda wote walichanganyikiwa wakashauriana mwanaume akajifiche hotelini ili wakija home wasimkute, labda...wauaji walimuita wana maongezi nae!! Labda....labda...!!!
Muoe wanawake wasomi.....wanaupeo
yaani mdogo wangu imeniuma sana. kweli mawasiliano ndani ya nyumba ni muhimu sana kuliko chochote.kuhusu maswali yako dada Fixed Point mara nyingi familia za watu wenye pesa nyingi sana amani,kuelewana na furaha ndani ya nyumba ni kizungumkuti,kwa hiyo huenda mke alimsikia tu mumewe akilalamika na pengine mume hakumwambia mkewe moja kwa moja shida iliyokuwa ikimkabili na hivyo kukuta pengine hata mume hakumpa taarifa kuwa angenda kulala hotelini,mengi yanahusika katika hili lakini la msingi zaidi ni mawasiliano ndani na maelewano baina ya wanandoa,kwa hiyo hapa tunjifunza kuwa ni vyema na ni muhimu kuwa na mawasiliano mazuri ndani ya ndoa ili kama kuna vitu kama hivi vinajitokeza mjue mnaanzia wapi na kuishia wapi no place like home and nothing like a good family!!!!!!!!!!!!!ni hayo tu kwa upande wangu.
Nilichokuwa namaanisha hapa ni kwamba kama unavyosema hao watu sio wepesi, yaani mimi najua kabisa mume wangu atauawa siku si nyingi.... nadhani nisingemruhusu kuwa peke yake. ningependa alale nyumbani na familia. Au unadhani wangeangamiza familia nzima?Hao wauaji si watu wepesi kama mnavyodhani wakipewa kazi ya kuua jua umekwisha...inasikitisha sana.
yaani rafiki, nilijiuliza saana, mpaka sasa naendelea kujiuliza.
Eti kama mimi kwanza nisingemruhusu aende kulala hoteli, hao wauaji waje wamuue hapo nyumbani na sisi tukishuhudia. tena siku hizo ningejitolea kuwa watchman wake, lol!
Nilichokuwa namaanisha hapa ni kwamba kama unavyosema hao watu sio wepesi, yaani mimi najua kabisa mume wangu atauawa siku si nyingi.... nadhani nisingemruhusu kuwa peke yake. ningependa alale nyumbani na familia. Au unadhani wangeangamiza familia nzima?
Kitisho cha mauaji hakina usomi, hasa utakapokuwa hujui atakayekuua ni nani polisi au jambazi!!! Hujui ukajihami wapi, kikubwa ni kuomba Mungu usikumbane nayo haya mambo!! Yasikie tu kwa wenzio
yaani maswali ni mengi rafiki!mie mpaka nikahisi labda hawakuwa kwenye hali nzuri ya maelewano, sielewi kwanini mke amwache mume wake alale peke yake kwenye hali ya mashaka/wasiwsi/hofu kama hiyo, hawana hata ndugu wa kiume mama angeweza kumwambia akalale hapo hotelini? au mwanaume alikataa kubaki na mtu? au au!
mmmhhhh!Unadhani wangekuja nyumbani wangeacha mtu?..issue za mabilion ya pesa kuliwa na watu sio za kufanya mzaha.
mke atakushauri vitu vyenye akili
yaani maswali ni mengi rafiki!
inawezekana mume hakutaka kuwa na mtu....... sasa kama hakutaka kuwa na mtu kwa nini alionyesha wasiwasi na kulalamika?
yaani mimi kunionyesha wasiwasi tu ningemweka chini ya ulinzi.....[/QUOTE]
si rahisi kama unavyofikiria.....