Kisa cha mmbwamwitu na mwanakondoo.Kama Imethibitishwa kuwa kuna watumishi elfu arobaini waliogushi umri, mnafanya uhakiki wa nini tena. Sio kwa vituko hivi!
Tunajua kizungumkuti kilichotokea kwenye kusaka watumishi hewa, halafu likafuatia zoezi lenye makengeza mengi la walioghushi vyeti... Zoezi hili lilifeli vibaya kwakuwa kuna maeneo hawakuthubutu kuyagusa kabisa huku baadhi ya watumishi wakiachwa ilihali wamethibitika kughushi.
Haya ya kupandishwa mshahara tuyaache kama yalivyo lakini hili la KUHAKIKI UMRI..... HAPANA si la kukalia kimya!
Umetumika mtambo gani huo kung'amua hili? Hili zoezi limechukua muda gani? Kwahiyo sio watumishi hewa na hawajaghushi vyeti ila wameghushi UMRI.... na mnataka kufanya uhakiki tena! Wa nini sasa wakati tayari mna takwimu zake?
OK huu uhakiki utachukua muda gani? Mnaua morali wa kazi kwa watumishi kwa kasi kubwa mno halafu bila sababu za msingi... Kwa hali hii tusitegemee matokeo makubwa yenye ufanisi huko serikalini... Maana watumishi wa uma wamekuwa kama vibaka....!!! Kibaka ni mtu wa kusingiziwa kila kitu.
Nina wasiwasi zoezi la kuhakiki umri likiisha litafuata la kuhakiki nyeti/jinsia... Hili litafanyika 2018, halafu 2019 litakuja la kuhakiki makabila na rangi..
Tupumzisheni kidogo tuwaze mengine sasa.. Hizi hakiki zimetukifu pomoni..
Mmbwa mwitu alimuona mwanakondoo wa miezi mitatu akicheza kwa madaha karibu kabisa na kijito cha maji, mmbwamwitu udenda wa mlo ukamtoka!Nikumbushe
Duuu nimeumiaaaaaaaaaa kuona Tz bado kuna mamburula ya kusema ccm hoyeee. Japo kama hawaipendi chadema basi wawe na akili kidogo hata ya kukosoana wenyewe kwa wenyewe
jogi umenikumbusha mbali sana na hiki kisa chenye mafundisho makubwaMmbwa mwitu alimuona mwanakondoo wa miezi mitatu akicheza kwa madaha karibu kabisa na kijito cha maji, mmbwamwitu udenda wa mlo ukamtoka!
Ikabidi azipange hoja za hila ili amwulizapo mwanakondoo ashindwe kuzijibu authibitishie ulimwengu kuwa alistahili kumla nyama.
Mmbwa mwitu >> kwanini unakunywa maji kabla yangu?
Mwanakondoo >> mimi sinywi maji, hunyonya maziwa pekee.
Mmbwamwitu >> Sasa kwanini unanichafulia maji?
Mwanakondoo >> mkondo wa maji unatokea ulipo wewe ndio maji yanakuja huku nilipo! kwa hiyo haiwezekani nikakuchafulia maji!
Mmbwamwitu >> Enheeee! nimekumbuka! Kwanini ulinitukana mwakajuzi!?
Mwanakondoo >> mimi nina miezi mitatu tu! mwaka juzi sikuwepo nilikuwa sijazaliwa!
Mbinu za kuuthibitishia ulimwengu uhalali wa kumtafuna nyama mwanakondoo zikagonga mwamba UBABE ukataka kuchukua nafasi.
Mmbwa mwitu >>>>
Basi kama sio wewe mjomba wako ndiye alinitukana hivyo nakushikisha adabu wewe.
Kabla hajamrukia ili amrarue akatokea Ngulumbili na kumkabili Mmbwamwitu kwa hoja na hatimaye kwa nguvu akamfukuza akatokomea msituni.
Ndiyo ponapona ya Mwanakondoo.
Kungekua na voice note nadhani ungempa na kasauti kidg ahahkhahahahaHA KU CHA GU LI WA. . . ! ! !
Ngulumbili watu cjui atakua nani mana lissu wamemtia panchaMmbwa mwitu alimuona mwanakondoo wa miezi mitatu akicheza kwa madaha karibu kabisa na kijito cha maji, mmbwamwitu udenda wa mlo ukamtoka!
Ikabidi azipange hoja za hila ili amwulizapo mwanakondoo ashindwe kuzijibu authibitishie ulimwengu kuwa alistahili kumla nyama.
Mmbwa mwitu >> kwanini unakunywa maji kabla yangu?
Mwanakondoo >> mimi sinywi maji, hunyonya maziwa pekee.
Mmbwamwitu >> Sasa kwanini unanichafulia maji?
Mwanakondoo >> mkondo wa maji unatokea ulipo wewe ndio maji yanakuja huku nilipo! kwa hiyo haiwezekani nikakuchafulia maji!
Mmbwamwitu >> Enheeee! nimekumbuka! Kwanini ulinitukana mwakajuzi!?
Mwanakondoo >> mimi nina miezi mitatu tu! mwaka juzi sikuwepo nilikuwa sijazaliwa!
Mbinu za kuuthibitishia ulimwengu uhalali wa kumtafuna nyama mwanakondoo zikagonga mwamba UBABE ukataka kuchukua nafasi.
Mmbwa mwitu >>>>
Basi kama sio wewe mjomba wako ndiye alinitukana hivyo nakushikisha adabu wewe.
Kabla hajamrukia ili amrarue akatokea Ngulumbili na kumkabili Mmbwamwitu kwa hoja na hatimaye kwa nguvu akamfukuza akatokomea msituni.
Ndiyo ponapona ya Mwanakondoo.
AhahahahahaHili la kughushi umri kwangu mimi nipo tayari hata kama sio Kweli maana nataka nilipwe haki zangu nirudi kijijini, hili halihitaji uhakiki, wao watangaze tu kuwa anayetaka kustaafu hata kama hajafikia umri wa kustaafu mbona tutajitokeza wengi kuliko hao elfu arobaini
nimecheka sana!HA KU CHA GU LI WA. . . ! ! !
Awamu ya tano waloiingia ikulu kimazingaumbwe kwa hiyo kinachotokea sasa ni kuendesha nchi kwa sarakasi!Kama Imethibitishwa kuwa kuna watumishi elfu arobaini waliogushi umri, mnafanya uhakiki wa nini tena. Sio kwa vituko hivi!
Tunajua kizungumkuti kilichotokea kwenye kusaka watumishi hewa, halafu likafuatia zoezi lenye makengeza mengi la walioghushi vyeti... Zoezi hili lilifeli vibaya kwakuwa kuna maeneo hawakuthubutu kuyagusa kabisa huku baadhi ya watumishi wakiachwa ilihali wamethibitika kughushi.
Haya ya kupandishwa mshahara tuyaache kama yalivyo lakini hili la KUHAKIKI UMRI..... HAPANA si la kukalia kimya!
Umetumika mtambo gani huo kung'amua hili? Hili zoezi limechukua muda gani? Kwahiyo sio watumishi hewa na hawajaghushi vyeti ila wameghushi UMRI.... na mnataka kufanya uhakiki tena! Wa nini sasa wakati tayari mna takwimu zake?
OK huu uhakiki utachukua muda gani? Mnaua morali wa kazi kwa watumishi kwa kasi kubwa mno halafu bila sababu za msingi... Kwa hali hii tusitegemee matokeo makubwa yenye ufanisi huko serikalini... Maana watumishi wa uma wamekuwa kama vibaka....!!! Kibaka ni mtu wa kusingiziwa kila kitu.
Nina wasiwasi zoezi la kuhakiki umri likiisha litafuata la kuhakiki nyeti/jinsia... Hili litafanyika 2018, halafu 2019 litakuja la kuhakiki makabila na rangi..
Tupumzisheni kidogo tuwaze mengine sasa.. Hizi hakiki zimetukifu pomoni..
HAHAHA ILE KESI WALIIFUTA FASTAFASTA NILITAKA WAFIKE MAHALI USHAHIDI UNAITWA MBELE YA MAHAKAMA