Hebu tupumzisheni kidogo tafadhali

Hebu tupumzisheni kidogo tafadhali

Mara paaaap miaka mitano inaishia kuhakiki hakiki tuu, hakuna maendeleo ya maana.
Maendeleo yatatoka wapi mkuu?tunaambiwa nchi ya viwanda,viwanda viko wapi?Magufuli anataka kujenga viwanda,ili hali kufufua General Tyre inamshinda.vichekesho kwelikweli.!!!!
 
Uhakiki mkubwa watakaokuja kuufanya ni KUHAKIKI KAMA NI KWELI WANANCHI WAMEWACHOKA KIASI HICHO AU WANAOTA hiyo itakuwa 2020.
 
waliodanganya umri utawajua tu!😀 natania tu..

hii awamu huenda inafuata sheria za kidini zile kumi usiseme uongo! n.k n.k
nasubiria ile ya sita!!
nahivi anasema aombewe naona maombi yanafanya kazi sasa...
 
anayewateua mwenyewe anasema hakupenda alisukumizwa unategemea nini hata wanaoteuliwa naye wanakwenda kwa kauli mbiu ya boss wao
 
Zimebakia habari za "kupongeza" tu.

Ghafla nimejikuta Nakumbuka kisa cha majuha watatu.
Kiweke tafadhali nazikumbuka heading tu maudhui yamenitoka ni miaka mingi imepita na si mzuri sana wa kutunza kumbukumbu
 
Nimecheka sana kila mtu anashangaa kukagua nini? Mmmh sasa watatudhalilisha viongozi sisi wengine tutakaa mbali tukishangaa ukaguzi wa sirini
 
Back
Top Bottom