Hebu tupumzisheni kidogo tafadhali

Hebu tupumzisheni kidogo tafadhali

Litakuja la uhakiki wa waliyogushi ndoa ili wapate uhamisho au manufaa (benefit, privilege) fulani fulani...


Cc: mahondaw
 
Watumishi hawahitaji maneno, vitendo vyao vinaongea zaidi. Kubwa tuwaelimishe ndugu na jamaa wanaotutegemea ambao ni potential voters kwamba hali ngumu imesababishwa na nani na hao ndio adui zetu.
 
Hili la kughushi umri kwangu mimi nipo tayari hata kama sio Kweli maana nataka nilipwe haki zangu nirudi kijijini, hili halihitaji uhakiki, wao watangaze tu kuwa anayetaka kustaafu hata kama hajafikia umri wa kustaafu mbona tutajitokeza wengi kuliko hao elfu arobaini
Kweli aisee!!
 
Back
Top Bottom