Hebu tuongeeni ukweli

Utanipa ml 5 aliyoiba huyu nyang'au?
[emoji2299][emoji2299][emoji2299][emoji1322][emoji1322][emoji1322] dah kumbe kakupiga parefu...hujatuambia ilikuwaje mrembo ukaingizwa cha kiume cha watoto? Au ahadi hewa [emoji16][emoji16]mambo yetu yalee.
 
Huenda kuwa unayosema ni kweli.. ila vipi kuhusu lile group la wachache ambalo pesa wanayo.. na si matapeli.. ila wanaangukia kwa wadada ambao ni slay queens.. au wadada ambao wameshachokwa wanatafuta pa kupumzikia?
 
Pole zao kabisa ila kwangu naangukia kwa maslay kings na nimatapeli japo sina hela ila ndio hivyo.
Wametapeli ml 5 za watu.
 
[emoji2299][emoji2299][emoji2299][emoji1322][emoji1322][emoji1322] dah kumbe kakupiga parefu...hujatuambia ilikuwaje mrembo ukaingizwa cha kiume cha watoto? Au ahadi hewa [emoji16][emoji16]mambo yetu yalee.
Yeye kadai anamchongo ila hela hana kwa sababu na mjua mtu nikasomesha ramani full.
Ikatiki akawa hana zile ahadi njema ni hewa kasepa baada ya kukabidhiwa mzigo.
5.6ml
 
Mtoto wa mjin kama ww unangukiaje kwa watu wa ajab ajab?
Au ni jinsi unavyojiweka dio maana imekuwa rahis kukubabua?
Embu tafuta anaejielewa.
Pole zao kabisa ila kwangu naangukia kwa maslay kings na nimatapeli japo sina hela ila ndio hivyo.
Wametapeli ml 5 za watu.
 
Yeye kadai anamchongo ila hela hana kwa sababu na mjua mtu nikasomesha ramani full.
Ikatiki akawa hana zile ahadi njema ni hewa kasepa baada ya kukabidhiwa mzigo.
5.6ml
Mtaje basi ili kama ana la kusema na yy aseme si kesi ya upande mmoja tu itakuwa si sawa weka mambo hadharani kama yule aliedai fulani ni domo zege.....weee kilichofuta anakijua mwenyewe mchokoza mada kala kona kama zote,funguka toto lao ili tukusaidie kumshikisha adabu ...
 
Sharti la jf vitu vya pm usiweke hadharani
 
Sheria ya jamii forum ndio hii usije kusema jukwani siri ya watu wawili ila sijawahi siku nyingi kuloga mtu naenda kwa kalumanzila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…