Hebu tuongeeni ukweli

Katika thread zote zakatoto kazuri naombeni hii muwe serious kidogo maana mchango wenu waweza kuwa nimuhimu Sana kwake yaani kwakifupi ameshaliwa huyu so utani wekeni pembeni jaman
Sisi tunamjibu kilofalofa kama alivyotuita kwenye post yake,[emoji38][emoji38] na sisi ni malofa kweli ww katoto kazuri angalia hiyo ID yangu!
 
Katoto humu ni kama mtaani tu unapoishi. Waliojo humu ndo walioko huku/huko mitaani.

Tabia zote za mitaani na huku zipo.

Wenye pesa, wenye nazo wastani, wasiokua nazo, wadananda, wazinguaji, wenye muda, waliopo busy nk. wote wapo mtaani na humu pia wapo.

Kikubwa jua tu ulichofuata humu
 
Kala hela za watu
 
Sari mamboo I MIS U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…