Hebu tuongeeni ukweli

Umeingia tena ovulation?
 
Maana kwa kawaida ukiwa ovulation ndipo unaanza hoja za kubanjuana. Ulikuwa umetulia ni karibia siku 28 sasa
Sio kubanjua ni mtu nimemuamini akaniuzia mawe kwenye gunia
 
we si ulinikataa mimi, au kwa sababu uliona nina sura mbaya!

tatizo nyinyi wanawake mnataka at the same time mwanaume awe handsome, pesa, tall, future oriented and all positive traits.....

sisi sura nzito ila mengine tupo vzuri hamtutaki
 
Pole sana...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...

Wakikuita Malaya nawe waoneshe umalaya wako ulivyo... live your life to the maximum...

Cc: mahondaw
 
pumba.
 
unajiita katoto kazuri wakati una sura kama mzee wasira
 
we si ulinikataa mimi, au kwa sababu uliona nina sura mbaya!

tatizo nyinyi wanawake mnataka at the same time mwanaume awe handsome, pesa, tall, future oriented and all positive traits.....

sisi sura nzito ila mengine tupo vzuri hamtutaki
Huo ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…