Binafsi hapa nakuunga mkono.Muda mama ndio tatizo mambo ni mengi muda ni mchache so wana kwenda RESI..Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Hakuna alishakuja mwaka juzi nimtu nimemzoea ila alitaka nimiamini na sasa nimeweza juzi hapa hatarii.Asante mh spika kunipatia nafasi hii hapa tatizo lipo kwa wwe unae amini watu wanao tumia fake ID we unakurupuka
Kwanini mnakuwa waongo nani wanaume kama ni mwanamke nisawa utaelewa.Kupata almasi au dhahabu si rahisi mkuu,lazima upambane kweli kweli;na unaweza ukapambana na usiipate;Namaanisha katika jamii yoyote ndio iko hivyo.
🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana katoto kazuri ila mama c alikukataza kucheza na wanaume kwa kuwa wanang'ata?
Ndo tatizo lake kubwa mkuu.anageneralize Sana na tabia hii itamkostIngawa siyo wote wenye tabia ulizozitaja….katoto kazuri.
Don't generalize, move from general to particular.
Hopefully you gonna prove yourself wrong.
Ndio ila sijapenda anasoma humuWe ndo unajua Leo
Mbona bado unaniandama wewe muhayaNdo tatizo lake kubwa mkuu.anageneralize Sana na tabia hii itamkost
kwa maana ya haraka umekula chenga ya mwili sasaHakuna alishakuja mwaka juzi nimtu nimemzoea ila alitaka nimiamini na sasa nimeweza juzi hapa hatarii.
Nimemuona kabisa
Uliyoyasema yatakukostMbona bado unaniandama wewe muhaya
Kanijia pm nikawa best yake akapropose kitu cha pesa nyingi nikamuunganishia mtu akamtapeli sasa naonekana tumekula njama na mimi ni mwanafunzi jamani nitarudishaje hela za watu??.
Tuko wakweli sana,tatizo nyie ke mnapenda sana kuambiwa uongoKwanini mnakuwa waongo nani wanaume kama ni mwanamke nisawa utaelewa.
ha ha ha ha ndio wale wakikutana 'live' wanaanza kukimbiana na kuzimiana simuUmeongea ukweli mtupu humu watu hawako serious , kupitia Jf nimeamini hamna mapenzi ya kweli kwny mitandao , full uongo humu.