katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Isipokuwa kuwa Mimi tu, sijawahi kufake huwa najaribu kuwa muwazi ingawa wapuuzaji ni wengi.Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
Tutawasikia wengi maoni yaoIsipokuwa kuwa Mimi tu, sijawahi kufake huwa najaribu kuwa muwazi ingawa wapuuzaji ni wengi.
aisee mimi nipo serious kabisa na mahusiano ya hapa jf ila cjapata aliyeserious kama mimi naomba nisaidie basi kumpata aliyeserious kama mimiNi hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
90% umeongea ukweli ingawa tupo wachache ambao sio matapeli (ingawa uongo mtakatifu tunao). Mimi binafsi nimepata mwandani humu JF na ki ukweli PM za majamaa kwake ni moja ya starehe yetu. Sio matajiri lakini sio malofa. Cc my baby... Usikoment chochote.Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
Kanijia pm nikawa best yake akapropose kitu cha pesa nyingi nikamuunganishia mtu akamtapeli sasa naonekana tumekula njama na mimi ni mwanafunzi jamani nitarudishaje hela za watu??.Katoto kazuri uyo uliyenae ni fake nini kakuingiza mjini
Tell me si bora upewe starehe??Utakuwa ushaliwa kwa mkopo sio bure
Eh nice asantee ila nimeingizwa mjini jamani saivi nalia na shida zanguUnamuongelea nyete au ila jf ya sikuhizi haina ile mikato ya kidon tena,nyuzi za kuomba michango na misaada zimetamalaki watu wanalia shida kweli.
NB.Sogea hapa African Tulip unywe soda mtoto mzuri.
Najua mwayaMkweli niko mimi tu humu,
Mimi ni muuza kiepe, sina gari sina baiskeri kitu pekee ninachomiliki ni gheto langu la kuwagongea mademu,
Sema mademu wa humu nikiwaambia hivyo wanasema eti nawaongopea.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
Cc Zero IQ
Mi mkweli ila napenda vitu vizuri na hela je wewe??wewe upo kundi gani kati ya hayo uliyoyaelezea?
Njoo basi tujenge familia wewe si unataka mkweli kama mimi Zero IQ,Najua mwaya