Hebu tujikumbushe historia kidogo

Sijui picha ya wapi ila kama Ni Ifwagi basi hapo mbele yupo Mtwa Mwamponzi.. nyuma yupo mshua wangu Mayavala walimbwaga mbwa huyo wakamzika mzima mzima
 
haki ya mama walifanya kwa wanyonge waje sasa hivi na huu utopolo
 
Hata aliyebebwa ni Mpumbavu.

Mtu mwenye akili huwezi kumdhalilisha hivyo binadamu mwenzio.

Wote wapumbavu.
 
Hata aliyebebwa ni Mpumbavu.

Mtu mwenye akili huwezi kumdhalilisha hivyo binadamu mwenzio.

Wote wapumbavu.
Think twice ndugu.hao walikuwa watawala.mbona magu akipita barabarani barabara inafungwa na hakuna anayekatiza.same applied
 
Mababu zetu walikuwa maboya sana ndo maana mpaka sasa ngozi nyeupe wanatuzarau🤢
Usiwalaumu ,sisi ndio maboya zaidi,unavyodamka alfajiru kuwahi kibarua kwa mhindi na hawa jamaa ni kitu kilekile
 
Mababu zetu walikuwa maboya sana ndo maana mpaka sasa ngozi nyeupe wanatuzarau[emoji1785]
Sisi ndiyo maboya zaidi ndiyo maana tunanyanyaswa sasa hivi na ngozi nyeusi wenzetu na hata habari hatuna.Afadhali babu zetu walinyanyaswa na wakawa wanajua kuwa wananyanyaswa ila sasa hivi tunanyanyaswa na ngozi nyeusi wenzetu ila hata hatujui kuwa tunanyanyaswa
 
Hivi walishindwa nini kumshusha hapo wamtandike na huo mshi kichwani afe??..

wapo waliofanya hivo,nilisoma sehemu mbalimbali kwamba wazungu wengi waliuliwa na watumwa, na kuna hadi stori maharufu mtumwa alichakata mke wa Mzungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…