CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.za asububi wana chit chat,
hebu tujikumbushe enzi za shule ya msingi na sekondari. kuna waliokuwa
- head boy / girl
- monitor / montress
- bibi/bwana afya
- dom leader
- wanariadha
- wapiga ngoma/filimbi
- wacheza ngoma za utamaduni
- wacheza sarakasi
- waimba kwaya
- wacheza mpira (netball / football)
na michezo mingine mingi. je we ulikuwa nani?
nilikua kijana maalumu wa kupanga vitabu ofisini kwa mwalim mkuu...(mwl mkuu alikua ni mmama mmoja wa ukweli)...
Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.
Me sikubahatika kusoma hapa nchini since my parents walikuwa wanafanya kazi abroad. So darasani kila mtu na lwake na mwanzoni nilikuwa notorious kwani shule nzima me ndo peke yangu black na watoto wakawa wananishangaa nawapiga. Later walinizoea. Ova.
hubby u have made my day, lolest! na vichupi vya primary wala si vizuri kivileeeeee, basi ulikuwa unaenjoyje sasa??Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.
Nilikua najua kuchora halafu nina mwandiko mzuri,basi siku za graduation nilikya nawekwa kamati ya mapambo...kazi yangu kubwa ilikua kuandika ubaoni maneno "STD 7 Graduation" kwa chaki za rangi rangi,full kuning'iniza matoilet paper kwenye meza ya high table...
miss em memories Changa Primary...Tanga mjini hiyo,wapi Mr.Msangi, Mr Msonde, Mr Cisco(R.I.P)
Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.
Primary nilikua kiongozi wa kundi maalum lililokua linajihusisha na kuhakikisha mapochopocho yote watoto wa kihindi walokua wanakuja nayo tunayala wote,
Madame B nimecheka kidogo nipaliwe! jamani kama namwona vile akiondoka kwa unyongeeee!
Ni tofauti na vyupi vya sasa. Vya zamani ulikuwa unavivua ndo uone tak.o lakini vya sasa unapanua tak.o ndo unaona chup.i. LOLEST!!hubby u have made my day, lolest! na vichupi vya primary wala si vizuri kivileeeeee, basi ulikuwa unaenjoyje sasa??
Primary nilikua kiongozi wa kundi maalum lililokua linajihusisha na kuhakikisha mapochopocho yote watoto wa kihindi walokua wanakuja nayo tunayala wote,