Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......
Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......
Mwenye masikio na asikie......

Am a kindagaten Cop.....twende mdo mdo......
Nadhani hapa this is generalization at its best.., Men Cheat just because they cheat sio lazima ni kosa la dada.The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......
Mwenye masikio na asikie......
Kashachelewa huyo.... Ndege wako mwenyewe manati ya nini? Come this way BADILI TABIAmbona unanipeperushia ndege wangu?
Huko kwenye BED hao wababa wanapamudu kweli,
au ndo kamoja leo tena anasikilizia siku tatu anashtuka tena.
Nadhani hapa this is generalization at its best.., Men Cheat just because they cheat sio lazima ni kosa la dada.
Unaweza ukafanya yote na ukawa umekamilika katika kila department lakini mwisho wa siku akacheat vile vile. Mtu akipenda chungwa siku akila embe sio kwamba hapendi chungwa tena wala haimaanishi akiona parachichi ataacha kuonja.
The only thing ambayo naweza nikakubaliana na wewe ni kwamba baadhi ya watu ambao muonekano ni average they make good wives maybe sababu hawapewi vichwa kwamba ni wazuri (si unajua mgema akisifiwa) hivyo basi watu wa muonekano wa kawaida mara nyingi wana roho nzuri na character nzuri sana (nothing to do with maujanja kwenye kitanda) hapo hakuna correlation at all.
Sioni masalia ya Ginesi hapo. Very unfair!!
huwa najuliza katika haya mambo ni wajibu wa nani kuhakikisha uhusiano unakwenda vizuri, iwe kwa kiandani au idara nyingine kama uzuri, etc.
Mimi nadhani ni jukumu la wote, mwanamke atajuaje kama yuko vizuri au vibaya kitandani bila kuambiwa (kumbuka haya mambo ni relative, kizuri kwako kibaya kwa mwenzio).
Na pia mwanaume anadhani yeye priority yake ni kitandani na mwenzie yuko vibaya, kwa nini asishirikiane na mwenzie kuhakikisha wako pamoja badala ya kwenda kudonoa huko nje?
Badala ya kwenda kudonoa, mweleze wazi kwamba we mwenzangu mzito kitandani, pamoja na kukufundisha kote naona huwezi na kwamba hapo ndipo udhaifu wako ulipo hivyo nimeamua kuchapa lapa kutafuta aliyemzuri kunako bed.
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......
Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......
Mwenye masikio na asikie......
message sent.. wadada mnashida sana.!![/
Hatuna shida Junoir. Cux: sie twapeana maujuzi we huoni mnatukimbia kila kukicha? Preta endelea kushusha nondo nipo na kalamu hapa. Nimemaliza kufanya ward round tayari